Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Mtanzania wa kwanza mwenye tattoos mpaka kwenye shingo na vipuli vya almasi masikioni kuingia bungeni na ikulu ya Tanzania!
Hii imekaaje wakuu?
Hii imekaaje wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenye baadhi ya hoteli za kitalii hapa Bongo jaribu kuingia umevaa kaptula na kandambili utazuiwa ila akija mzungu kavaa kama wewe wala awataangaika naye.Ni pesa tu, vaa wewe pangu pakavu sasa 😅
Ni pesaaa tu.Hata kwenye baadhi ya hoteli za kitalii hapa Bongo jaribu kuingia umevaa kaptula na kandambili utazuiwa ila akija mzungu kavaa kama wewe wala awataangaika naye.
Mswahili unapesa zako lakini maaskari wao wanakuzuiaNi pesaaa tu.
Siku jaribu kwenda na Raaaaange, wakikuzua njoo uje uniambie mkuu 😂Mswahili unapesa zako lakini maaskari wao wanakuzuia
Mimi uwa nakwenda na gari ya Mjerumani wala awanizuii.Siku jaribu kwenda na Raaaaange, wakikuzua njoo uje uniambie mkuu 😂
VipuriiiBarozi wa malaria na vipuri vyake.
Katoboa majuz juzHivi si na pua katoboa huyu!! Dunia uwanja wa fujo.
Umeona sasaa 😅,Mimi uwa nakwenda na gari ya Mjerumani wala awanizuii.
Kuvaa hereni sio ushoga mbona wamasai wanavaa hereni vp nao n mashoga?Kutokomeza ushoga imekuwa changamoto sana.
Ukiona mwanaume anajiremba ujue idadi ya wanaume inazidi kupungua.Kuvaa hereni sio ushoga mbona wamasai wanavaa hereni vp nao n mashoga?