Diamond Platinamuz show tatu za nguvu kwa miezi mitatu


Interview aliyefanya na shigongo ni boss wenu,hivyo ni wazi hayo amelezo ya jini kumkosa yeye ndio aliyeyatoa.
 

Nakubaliana na wewe 100% ,si ulikuwa unaona diomond na ney wa mitego waliwasema freemason? Lakini nilipinga kabisa si domond wala ney ni freemason,tatizo la hapa ni kuhusu mama yake kutupiwa jini na domo kufanya collabo na p-square hapa ndio mzozo ulipoanza.

Tutaendelea kutoa maoni kuhusu changamoto za kimziki,hapa ni kuwapa changamoto hawa team ya wapewa tecno waache ushabiki maandazi tu.
 
Ukweli mchungu sana kuusikia,kupambana na team ya diamond inahitaji ujasiri,nimelivulia njuga,muulizeni boss wenu aliyefanya interview na shigongo.

hahahahahhaaaaa so upo hapa kupambana na sisi,?? and tell u what?? u are very very right, kupambana na mtu bourah, kupambana na mtu kama diamond anayetumia akili nguvu na maarifa kusaka mlo wake wa kila siku, u need to be sent by the GOD himself, sio vichaa toka team jirani, sio vichaa binafsi wanaosema hawana team lakini wanajiskia tuu kumponda mond, na sio ushirikina, hivi hujajiuliza kwa nini hilo jini lilimkwepa??? if at all its true??
 
Interview aliyefanya na shigongo ni boss wenu,hivyo ni wazi hayo amelezo ya jini kumkosa yeye ndio aliyeyatoa.
Narudia... habari za kishirikina peleka kwa washirikina wenzako! Halafu we jamaa nilikuwa sijafahamu kwamba bonge la mshamba! Yaani mtu kum-feel msanii fulani ndo kwamba bosi wake! Acha ushamba wewe... na ndio maana bila aibu umekaa hapa kuhesabu wasanii waliouwa mama zao kwa sababu unasumbuliwa na ushamba! Na ukiwa na mawazo ya kishirikina lazima utakuwa na tabia za kishamba tu!
 

Inaonekana kuna kitu sijui mkuu, ngoja niwasome na niendelee kuwasoma vizuri labda tutaenda sambamba.!!!
 
JamiiForums inabidi waweke sheria, ukionekana hueleweki tu ( mara umetaja majini, mara waganga ) wanakupiga ban. Where is the luxury of being in here kama kuna watu kama King Kong III ? Mpotezee huyu bwana mdogo chige anaona siifa kuonesha ujinga mbele yetu
 
Last edited by a moderator:
Kwa sas hv Diamond ni kwel yupo juu lakin kushuka ni lazma ktk mziki na pia kwann ujadili kushuka kimzik tu hujue hata kupanda kimzik zaidi nayo pia IMO,lakin hawa wanamziki wengine wanaoigaiga nyimbo hawa watasubir sn had yesu atawakuta.
 
Its utter non sense.
Utter nonsense? Are you serious? Hebu angalia ubongo wako ulivyokuwa polluted na mawazo ya kishirikina:
Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
Boss wenu kabugi asiwaige p-square,fally ipupa au koffi olomide.Kesho siku ya wanawake duniani,mama kwanza fame baadae.
kwakuwa wewe ni kilaza na mchumia tumbo hauwezi kujua namaanisha nini kati ya kushuka kimziki kwa sasa,kufanya maongezi na p-square na kutupiwa jini kwa mama diomond,endelea kutumia tumbo kufikiri.
Hawanipi tabu hao,wamelewa na vi-tecno vya kuja kumtetea boss wao.Na asije akachuzwa na p-square mama kwanza fame baadae.
Mkuu utakuja kunielewa tu hapa nilikuwa nazungumzia nini,nenda congo kaulize historia ya fali ipupa au koffie olomide halafu utajua nazungumzia nini.
 
Kwa sas hv Diamond ni kwel yupo juu lakin kushuka ni lazma ktk mziki na pia kwann ujadili kushuka kimzik tu hujue hata kupanda kimzik zaidi nayo pia IMO,lakin hawa wanamziki wengine wanaoigaiga nyimbo hawa watasubir sn had yesu atawakuta.
Tena wala hamna anayebisha kwamba Diamond hatakuja kushuka kwa sababu haijapata kutokea duniani mtu kabaki kwenye chati ya muziki maisha yake yote! Hata huyo Michael Jackson alifariki wakati game linatawaliwa na wengine itakuja kuwa Diamond!!!
 
Umeongea jambo la maana manake hata uwezo wake wenyewe wa kujenga hoja hana anaishia kwenye kutaja vi-techno wakati angejua... angejionea aibu mwaka mzima! Naungana mkono na wewe kwa sasa kwamba jibu lake bora ni KUMPUUZA!
 
Mkuu utakuja kunielewa tu hapa nilikuwa nazungumzia nini,nenda congo kaulize historia ya fali ipupa au koffie olomide halafu utajua nazungumzia nini.
Koffie Olomide yule mwenye Masters ya Maths au yupi? Kama ndo huyo jamaa, alikua bright sana darasani, alienda kusomea ufaransa na alipata Shahada ya Uchumi wa biashara
 
Koffie Olomide yule mwenye Masters ya Maths au yupi? Kama ndo huyo jamaa, alikua bright sana darasani, alienda kusomea ufaransa na alipata Shahada ya Uchumi wa biasharaView attachment 232809
Yaani mtu kama King Kong III unamwambia masuala ya masters? Si atakuambia mitihani yake ilikuwa inafanywa na majini ndo maana alikuwa anaonekana ana akili darasani!
 
Last edited by a moderator:

Hamna hoja yeyote,mmekazania ushirikina as if mimi ndio niliyeanzisha ushirikina,swali langu lilikuwa simple tu,jini alilotupiwa mama yake lishatoka? Mbona mmepanic? Ukweli unauma.
 
Umeongea jambo la maana manake hata uwezo wake wenyewe wa kujenga hoja hana anaishia kwenye kutaja vi-techno wakati angejua... angejionea aibu mwaka mzima! Naungana mkono na wewe kwa sasa kwamba jibu lake bora ni KUMPUUZA!

Akili yako ndio imeishia hapo,hauwezi kwenda mbele ya hapo,umekazania neno ushirikina kuanzia mwanzo mpaka mwisho,"chale mwilini kibao matozi hawaoni soo? Nai nai kwa uchwawi ndio ngoma ika-hit dar,hiyo mistari iliyowadiss maboss wenu wachawi"

Mmezoea kuonea Timu kiba tu,kazi imeanza,mteteeni boss wenu na vi-tecno vyenu.
 
Koffie Olomide yule mwenye Masters ya Maths au yupi? Kama ndo huyo jamaa, alikua bright sana darasani, alienda kusomea ufaransa na alipata Shahada ya Uchumi wa biasharaView attachment 232809

Nimekwambia kaulize congo,hizo historia za google na wikipedia hazielezi kitu nlichotaka ukijue,bali wakongo wanajua vizuri,Pdiddy mwenyewe ana Phd ndio nishangae masters ya koffie?
 
Yaani mtu kama King Kong III unamwambia masuala ya masters? Si atakuambia mitihani yake ilikuwa inafanywa na majini ndo maana alikuwa anaonekana ana akili darasani!

Ndio tatizo la kutumia tumbo kufikiri badala ya kichwa.
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana kuna kitu sijui mkuu, ngoja niwasome na niendelee kuwasoma vizuri labda tutaenda sambamba.!!!

Mkuu hapo ulipoweka red ndio nimewatibua Team Diamond,hizo issue hawataki kuzisikia kabisa,ingekuwa issue siyo ya ukweli wasinge panic,ona walivyopanic kuuliza swali moja tu "Jini alilotupiwa mama yake diamond lishatoka?" Nilichoambulia ni kashfa na matusi na kuniambia mimi ni mshirikina na bla bla kibao badala ya kujibu swali tu.

Cha kushangaza chige ana refer magazeti ya shigongo lakini nikimuuliza swali lililotokana na interview ya shigongo na boss wake anakuwa mkali na kuanza kuponda,story za ushirikina zipo kwenye gazeti la shigongo,mkuu kupambana na team diomond inahitaji kujitoa mhanga,wapo kibao wamenunuliwa tecno za kutosha kupambana na mtu yeyote atakayeenda tofauti,utajiuliza kwanini nataja tecno mara kwa mara ni kwasababu siri za hizi team alikuja kuzisema wema sepetu na le mutuz baada ya kuwakamata wahusika na kuwahoji vizuri,chige na ma vuvula wenzake ni wanufaika na wa tecno.
 
Last edited by a moderator:
Mimi na wewe ni nani ambae akili yake haiwezi kwenda mbele? Ulitaka niishie wapi wakati from the beginning hoja ambayo mara zote nimekuuliza ni kuhusu imani zako za kishirikna! Na ili kukazia hoja yako, ukaendelea kuwataja wanamuziki wengi kama akina Olomide, Fally Pupa na p-Square kwamba waliwaua mama zao halafu hutaki tena nijikite kwenye hoja ya msingi unataka nizungumzie nini?Nimekuuliza unahusisha vp kushuka kwa Diamond na suala la yeye kukutana na P-Square na mama ake kutupiwa jini, umeshajibu?

Hata hivyo, haishangaz coz' watu wenye akili fupi wote kila aina ya mafanikio lazima watahusisha na uchawi! Yaani mama wa msani akifa, watu wenye akili fupi kama wewe lazima mtahusisha na ushirikina... halafu unatarajia uwe na uwezo wa kwenda mbele wewe wakati ubongo wako umeoza kwa imani za kijinga!!

Halafu ulivyo na akili fupi... huyo Diamond na P-Square walikuwa wala hawana ukaribu wowote! Lakini kutokana na akili zako fupi, unaamini P-Square walipokutana na Diamond wakamwambia siri ya mafanikio yao ni kwavile walimuua mama yao... hivi we una akili kweli wewe au una akili zinazokutosha kuvaa nguo peke yake ili usitoke uchi? Hebu nenda mbela
 
Ndio maana nimekuambia wewe una akili fupi!!!! Nioneshe post yangu moja nilyozungumzia magazeti ya Shigongo kama sio we mwenyewe na akili zako fupi ndie umeleta habari za magazeti ya Shigongo! Onesha hiyo post hapa, wewe moja ya post zako kuhusu Shigongo, ni hii hapa!
Interview aliyefanya na shigongo ni boss wenu,hivyo ni wazi hayo amelezo ya jini kumkosa yeye ndio aliyeyatoa.
Haya sasa, onesha post yangu moja ambayo nimefanya reference magazeti ya Shigongo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…