Diamond Platinum ana Cheo gani hapo CCM maana msafara wake kwenye sherehe ya CCM unatrend hadi kwa Trump!

Diamond Platinum ana Cheo gani hapo CCM maana msafara wake kwenye sherehe ya CCM unatrend hadi kwa Trump!

Kuajiriwa na gvnt ni kwa vigezo maalumu
1. Msomi,
2.msomi na una pesa
3. Msomi na una mkubwa ktk ngazi za maamuzi
Na sivinginievyo sasa huyo diamond na elimu yake ya class 7 atamuongoza nani?
 
Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM

Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM

Au mnasemaje ndugu zangu? 😂
Unasemaaa?Husikikii ebu ongeza sauti kidogo?
 
Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM

Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM

Au mnasemaje ndugu zangu? 😂
Ameambiwa agombee ubunge halafu atateuliwa kuwa waziri mkuu na kuweka rekodi ya waziri mkuu kijana zaidi duniani
 
Ni kaimu katibu mkuu wa usalama wa taifa
 
Kuajiriwa na gvnt ni kwa vigezo maalumu
1. Msomi,
2.msomi na una pesa
3. Msomi na una mkubwa ktk ngazi za maamuzi
Na sivinginievyo sasa huyo diamond na elimu yake ya class 7 atamuongoza nani?
Aisome Babu tale.
 
Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM

Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM

Au mnasemaje ndugu zangu? 😂
CCM ni muhimu kwa Diamond. Diamond ni zao la CCM hususan JK. JK alimpenda sana Diamond na mambo yalianza kupendeza kwake katika kampeni za muhula wa pili wa JK mwaka 2010.
 
Mambo kama hayo ndio Trump akiona anajua kweli Africa tuna uhitaji.
 
Kwani Trump yeye ndio nani kwa Afrika hii?
Ni Mzodoaji wa Africa anayekosoa matumizi yetu ya hela ili hali tunafanya vizuri tu, wasische kutukopesha.
 
Back
Top Bottom