johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ahahahahaha!!!huyo jamaa ni TAKATAKA
Unasemaaa?Husikikii ebu ongeza sauti kidogo?Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM
Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM
Au mnasemaje ndugu zangu? π
Ameambiwa agombee ubunge halafu atateuliwa kuwa waziri mkuu na kuweka rekodi ya waziri mkuu kijana zaidi dunianiDogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM
Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM
Au mnasemaje ndugu zangu? π
Aisome Babu tale.Kuajiriwa na gvnt ni kwa vigezo maalumu
1. Msomi,
2.msomi na una pesa
3. Msomi na una mkubwa ktk ngazi za maamuzi
Na sivinginievyo sasa huyo diamond na elimu yake ya class 7 atamuongoza nani?
CCM ni muhimu kwa Diamond. Diamond ni zao la CCM hususan JK. JK alimpenda sana Diamond na mambo yalianza kupendeza kwake katika kampeni za muhula wa pili wa JK mwaka 2010.Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM
Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM
Au mnasemaje ndugu zangu? π
Mambo kama hayo ndio Trump akiona anajua kweli Africa tuna uhitaji.
Ni Mzodoaji wa Africa anayekosoa matumizi yetu ya hela ili hali tunafanya vizuri tu, wasische kutukopesha.Kwani Trump yeye ndio nani kwa Afrika hii?
Sio Bure Kuna harufu ya kajimbo kupewa hapo October 2025!Dogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM
Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM
Au mnasemaje ndugu zangu? π
Labda mkuu wa mkoa wa uwanja wa fisiDogo Diamond Platinumz ametisha sana kwenye Sikukuu ya Kuzaliwa CCM
Atafutiwe Cheo hapo CCM au Kwa ufupi tu awe Mkuu wa Mkoa wa DSM
Au mnasemaje ndugu zangu? π