Diamond Platinum hajui kuvaa wala sio mtu wa bata

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata 1000 bora hayupo

Kwa kutupia diamond kaachwa mbali sana na Jux

Pia hata swagger diamond hana ,hamfikii jux hata theluthi

Mbali na kutupia ,pia hata starehe Diamond bado yupo nyuma sana .

Diamond anachokiweza yeye ambacho hata mimi binafsi namsifia ni suala la biashara na kujitangaza kimataifa tu basi

Diamond ni mtu anayejua sana kuitumia fursa ipasavyo ,huwa hafanyi makosa kwenye sekta hiyo .
 

Attachments

  • Screenshot_2017-06-30-00-09-35.png
    83.6 KB · Views: 182
Anajaribu kwenda na wakati kulingana mazingira.
Kuvaa anajua na anapenda wala usifanye ubaguzi.
Hayo mengine ni mtazamo wako tu.
 
Anajaribu kwenda na wakati kulingana mazingira.
Kuvaa anajua na anapenda wala usifanye ubaguzi.
Hayo mengine ni mtazamo wako tu.
Ila wakitajwa wanaojua kuvaa huwezi kumtaja diamond

Diamond mjomba mjomba tu

Fasheni zimemkalia kushoto sana.
 
Diamond havai,anavishwa.Hujui kuna mtu kazi yake ni kumpangia avaaje ili mwisho wa mwez alipwe?
Labda ungesema Diamond hajui kuvishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…