Mhhh mi masuala ya kuvaa naonaga kizungumkuti sana, yaani sielewi kinachoendelea. Naona mafashonista huwa wanatubabaisha sana, mara nyingi naona watu wamevaa na wamependeza sijuagi Kingine mie. Mtu akivaa kitu kulingana na hadhi yake basi kwangu amemaliza.