Diamond Platinum na ALIKIBA wamekutana na kumaliza tofauti zao za muda mrefu

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Baada ya kuwa katika upinzani wa muda mrefu, hatimaye wasanii nyota nchini Tanzania, Diamond Platinum na ALIKIBA wamekutana na kumaliza tofauti zao za muda mrefu.

Hatua hiyo imepokelewa kwa furaha na mashabiki wa pande zote mbili ambao wengi katika mitandao ya kijamii wamepongeza hatua hiyo.

Hivi karibuni, msanii Abdul Nasib maarufu kama Diamond akizungumza na waandishi wa habari, alimkaribisha mwenzake Alikiba kujumuika naye katika Tamasha La Wasafi 2018 linalotarajiwa kuanza Novemba 24.

Lakini katika kuonesha wawili hao wako tayari kufanya kazi kwa pamoja, Alikiba alijibu kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa amepokea mwaliko huo lakini kutokana na muingiliano wa ratiba yake ya kuzindua bidhaa yao ya Mofaya hataweza kushiriki na badala yake ametangaza kudhamini tamasha hilo kupitia bidhaa hiyo.
 
ni baada ya mtoa sebene kila muda kuona ngoma zake zinabuma inabidi ajishushe tu kidizain flan japo bado kaweka ngumu eyi atakuwa yupi bze kutambulisha bidhaa yake....
 
Walikuwa wanakula kuputi Bifu lao nawaonea huruma
 
Hakuna Bifu lolote wabongo ni watu wa ajabu Sana mnachezewa akili mnaingia kingi
 
Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.....
 
Sana ni PHOTOSHOP JAMANI HIYOOO DAI TANGU LINI AKAWA NA KITAMBI NA KATI YA MONDI NA DAI NANI MREFU WATAZ MNALETA HABARI SIOOOOO😁😁😁😁😁
photoshop,diamond yupo canada,angali background ilivyounganishwa hadi mics,halafu kati yao nani ni mrefu?
 
Hawa jamaa hawakua na bifu....ila mashabiki zao ndo walikua na bifu
 
KWAHIYO ALIKIBA HATAKI KUBEBWA NA BADALA YAKE AMEAMUA KUMBEBA DAI KWA KUDHAMINI TAMASHA.
KING NI KING KIBA
 
ni baada ya mtoa sebene kila muda kuona ngoma zake zinabuma inabidi ajishushe tu kidizain flan japo bado kaweka ngumu eyi atakuwa yupi bze kutambulisha bidhaa yake....
Kimsingi bifu halikuwepo kwa wakali hawa wawili,ila lilikuwepo miongoni mwako na watu wa namna yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…