Diamond platinum wakigonga Chias na boss wa kampuni ya kinywaji cha luc belaire iliyompa dili nono

Ros tomas

Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
48
Reaction score
36
Diamond platinum wakigonga Chias na boss wa kampuni ya kinywaji cha luc belaire iliyompa dili nono, katika series za self made zinazoandaliwa na luc belaire
 
wewe utasema oo video mbaya kuwahi kutoliewa na dai kumbe mwenzio yupo kibiashara. akitoka huko ni kununua mjengo mwingine hapo katikati ya mji au kwingineko Africa
 
Hana adabu, kagonga Chias na mkono wa kushoto
 
wewe utasema oo video mbaya kuwahi kutoliewa na dai kumbe mwenzio yupo kibiashara. akitoka huko ni kununua mjengo mwingine hapo katikati ya mji au kwingineko Africa
Kweli mkuu atakua amekula zaidi ya 100000bucks
 
Bidii IPO wataipenda hata kisirisiri....chibu namba nyingine kabisa.
 
Anajitahidi kuongea kingereza ila apunguze mbwembwe zinaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…