Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Hao madogo wamewaharibu midomo wameharibu picha mamaeeee
tatizo wabongo tuna upeo mdogo sana wa kufikiri we unadhani hizo rangi kwenye midomo ni ""MAPAMBO""??? Am sure akili yako ndio ilivyokudanganya.. hayo siyo mapambo hiyo inawakilisha bendera ya taifa na alama za taifa, hata Wajerumani, Wafaransa na nchi mbalimbali hufanya hivyo ili kukuza tamaduni za bendera na alama za taifa ndio maana unaona hizo rangi zinatofautiana.. nadhani ni upeo wako finyu wa kufikiri!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…