Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Amshukuru Akon, naamini huyo rais hamjui domo
UKIMJUA WEWE ULIYEMPA BENDERA YA TAIFA KUTUWAKILISHA INATOSHA,NA HII INAONYESHA NI JINSI GANI HUYU MSANII NI HADHINA KUBWA SANA KWA TAIFA LETU.
 
Diamond hayupo Gabon kwa ajili ya Rais Bongo bali yupo huko kwa mualiko wa CAF kushiriki ufunguzi wa AFCON kama walivyoalikwa hao wengine
Ivi uneelewa jamaa alikuwa anazungumzia nn au umekurupuka tu
 
Wewe ndio mwenye matatizo ya akili maana hata hujui kilichompeleka huko
Wanazungumzia kilichompeleka au mada inahusu iyo picha mbona unataka kuudhihirishia uma ni kwl kuwa uwezo wako wa kufikiria ni mdogo
 

Simba diamond Platnumz alipata nafasi ya kualikwa kufanya mahojiano na kituo kikubwa cha Television KANAL7 cha nchini Gabon@AFCON2017.

Game ya ufunguzi Gabon ×Guinea Itapigwa katika uwanja Huu wa stade d'Angondejé ambapo diamond Platnumz Atapiga show kabla ya Game kuanza@AFCON2017.
 
Jaribu kuwa na adabu kidogo wewe shoga ulioanza kukorogwa ma.vi na baba yako toka unatambaa,unafikiri wote machoko wenzenu humu
Acha mapovu,WEWE UMEJIFANYA KUMKOSOA MLETA THREAD KWA KUTOTAJA MAJINA YA WOTE,HAYA BASI YATAJE WEWE MAJINA YOTE WALIOPO KWENYE HIYO PICHA SIO UNAMKOSOA MWENZIO KISHA NA WEWE UNAFANYA HIVO HIVO, YATAJE YOTE NA USIPOFANYA HIVO, NI LAZIMA NIKUOE BILA YA WAZAZI WAKO KUAMBULIA HATA MIA MOJA.
 
Hana adabu huyo mbwa
Dada nilipokosea mimi ni wapi ....... Au kukuambia ufanye alichoshindwa kufanya mleta mada (umemkosoa MLETA MADA HAKUWATAJA WATU WOTE WA KWENYE HIO PICHA,KISHA NA WEWE MKOSOAJI UKUWATAJA WOTE KAMA MLETA MADA) au ulidhani wote machizi ambao tunatoa "like" bila ya kuwa umetoa hoja ya msingi....??
 
Ila matusi siyo.
Dada punguza matusi,kwani huyo mtukanao hawezi matusi??
Acheni matusi.
 
Akon kazeeka diamond tafuta collabo na huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…