MjuviKitambo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 711
- 811
Mungu kabariki mapito ndugu yangu acha tuBi. mkubwa katia maguu kiwanja. Sijui kama alifikiria kufika majuu siku moja.
Amekugusa wapi mkuu??Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona clip ya video ya diamond akiwa na familia yake sijui nchi gani, nilichopenda ni namna kijana anavyojitahidi kuwa karibu na mama yake, kutoka katika sakafu ya moyo wangu nimefurahishwa, nimeguswa sana na upendo huu wa kijana mwenzangu kwa mama yake! Mungu ambariki sana
Linapokuja suala la mama huwa nakosa cha kusema. Hakuna kama mamaChezea kubebwa miezi 9 tumboni kwa mtu.....!
Afu anakuja kwenda Theatre room...the room that every woman fears ....
Afu mama anakulea the whole time.....
Pendeni mama zenu wakuu.....
Nakupenda mama TRANSCEND hapo ulipo....
Ana show GERMAN: FRANKFURT (Tar 19) hizo video zipo mbili ya kwanza yupo turkey anajiandaa kuelekea frankfurt,video ya pili ashawasili frankfurt.Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona clip ya video ya diamond akiwa na familia yake sijui nchi gani, nilichopenda ni namna kijana anavyojitahidi kuwa karibu na mama yake, kutoka katika sakafu ya moyo wangu nimefurahishwa, nimeguswa sana na upendo huu wa kijana mwenzangu kwa mama yake! Mungu ambariki sana
Hilo linauma lakini hakuna namna lazima ajitahidi sana amsameheAnachukia baba ake alichomfanyia maake jamaa anaupendo wa dhati
Hilo linauma lakini hakuna namna lazima ajitahidi sana amsamehe
Muhimu ni kusamehe, kuwa naye karibu mpaka kwenye maisha yake ya kila siku ni suala gumu, kama anao uwezo wa kumsaidia afanye hivyo.Kusamehe sio ngumu, na amesha msamehe..
Kazi IPO kwenye kuweka ukaribu, kwenye kila anachofanya amshirikishe n.k maana miradi yake yote ya kimaendeleo mama yake huwa anahusika kuisimamia sasa ndio mshua aje awe anahusika inakuwa ngumu kidogo..