Diamond Platinumz Amnunulia Wema Sepetu Jumba La Zaida Ya TShs 100 Milioni

ndio maana wamerudiana kumbe kwa sababu ashaachana na huyo kigogo,inaonekana hiyo ilikuwa ni moja ya requrement y diaomond ili waweze kurudiana
 
How comes diamond amnunulie wema nyumba ya 125m wakati yeye bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga?ebu wakawadanganye wapuuzi wenzao huko bongo movies..
 
Kweli maisha ya wasanii ni usanii hiyo nyumba anayoishi si alisema ya kwake tena kwenye mahojiano na zamaradi mketema clouds TV...sasa anaposema anahama mimi sielewi!!! Na Hugo diamond anasema nyumba ya milioni 150 ni ya kifahari mbona huku kwetu malapa hiyo ni bei ya kiwanja tu
 
Heading Diamond amnunulia Wema nyumba, habari yenyewe ukisoma Diamond ana plan ya kumnunulia Wema nyumba, na tukipekuwa maktaba inaonesha Wema aliutangazia ulimwengu kwamba anamiliki nyumba ya thamani ya sh million 400.

My conclusion; this is rubbish inayofaa kusomwa na wauza vitumbuwa na house girl's na habari hii haina hadhi ya ya kuletwa hapa Home of great thinkers.
 
Kwel 125 haiwez jenga jumba la kifahari.

Inajenga inategemea na location ila yeye anataka kununua jumba la kifahari kwa M 125 katikati dar hiyo ni bei ya kiwanja/ nyumba ya kawaida sana sio jumba la kifahari

Just for love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…