Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Bony Wilfried mchezaji wa Manchester City anayecheza kwa mkopo katika club ya Stoke City. Angalia hii clip ya Instagram kutoka kwenye verified account yake.
we ni naniKwani ajabu nini?
Mbona mi naimba album nzima ya 50 Cent get rich or die trying na ya Jiga blue print zote na hata kidato cjatimba n yet ni chalii tuu ya hapo Ngarinanyuki.
kuongea hivo mbele ya king haileti picha nzuri[emoji23][emoji23][emoji23]"mi nishamuimbisha christiano ronaldo sema tu sitaki show off!" -King😀
Ukitumia app inakuwa hivyo ukitumia browser utaiona vizuri!unsuported video ni kwangu tu au?