DIAMOND Platinumz arudia kuvaa koti la Mtv Africa Wards BET.!!!

DIAMOND Platinumz arudia kuvaa koti la Mtv Africa Wards BET.!!!

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Pamoja ya kusafiri na designer wake kuna kila dalili msanii diamond karudia kuvaa koti la suti aliliovaa MTVAMA kwenye BET Awards. Au hilo koti limepitia kwa babu nini?

Alafu ameshindwa kuelewa tofauti ya BET awards na Awards zingine ni Dress code tofauti. BET awards hawavai suti kama za kwenye American music awards au Mtv awards, angeona Davido alivyovaa kuendana dress code. BET awards ni street wear ndo dress code au Doo Rags.... nazani Diamond hakufahamu hilo ndo maana watu (karrueche) wamemshangaa jinsi alivyo over dress kama mzee. Vijana wote wametupia street wear kasoro wazee kina Lionel Ritchie. Hii ni Occasion ya ku celebrate Black american culture. Mcheki Ne-Yo alivyotupia.

Tatizo ni mameneja wake kutokukujua msanii ocassion ipi anatakiwa avae vipi. Makosa hayo hayo aliyafanya Kwenye Harusi ya P Square huko Nigeria.

Ila hongera zake zake kwa hatua kubwa ni makosa madogodogo. Wanigeria wanauzoefu wa miaka minne kwenye tuzo hizi.
 

Attachments

  • 20140630_013854.jpg
    20140630_013854.jpg
    111 KB · Views: 943
  • 1404173048016.jpg
    1404173048016.jpg
    271.5 KB · Views: 880
  • BN-Red-Carpe-Fab-2014-MTV-Africa-Music-Awards-May-2014-BellaNaija063-399x600.jpg
    BN-Red-Carpe-Fab-2014-MTV-Africa-Music-Awards-May-2014-BellaNaija063-399x600.jpg
    36.3 KB · Views: 1,011
Mi nilitaka avae hata sketi ili wamshangae vizuriiiii
 
Halafu mbona kila picha anapenda pozi la kuinama hvo hadi linaaribu picha awe ananyooka bana
 
Pamoja ya kusafiri na designer wake kuna kila dalili msanii diamond karudia kuvaa koti la suti aliliovaa MTVAMA kwenye BET Awards. Au hilo koti limepitia kwa babu nini?

Alafu ameshindwa kuelewa tofauti ya BET awards na Awards zingine ni Dress code tofauti. BET awards hawavai suti kama za kwenye American music awards au Mtv awards, angeona Davido alivyovaa kuendana dress code. BET awards ni street wear ndo dress code au Doo Rags.... nazani Diamond hakufahamu hilo ndo maana watu wamemshangaa jinsi alivyo over dress kama mzee. Vijana wote wametupia street wear kasoro wazee kina Lionel Ritchie. Hii ni Occasion ya ku celebrate Black american culture. Mcheki Ne-Yo alivyotupia.

Tatizo ni mameneja wake kutokukujua msanii cocassion ipi anatakiwa avae vipi. Makosa hayo hayo aliyafanya Kwenye Harusi ya P Square huko Nigeria

you are a liar... wewe ni muongo na bonge la hater...!!!
 
Swala la kutupia ni fani kama ilivyo kwake kuimba mziki
Alitakiwa awaone wenye fani zao wampe maelekezo kabla
 
mh! Diamond maarufu kuliko JK!!
 
Back
Top Bottom