JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Pamoja ya kusafiri na designer wake kuna kila dalili msanii diamond karudia kuvaa koti la suti aliliovaa MTVAMA kwenye BET Awards. Au hilo koti limepitia kwa babu nini?
Alafu ameshindwa kuelewa tofauti ya BET awards na Awards zingine ni Dress code tofauti. BET awards hawavai suti kama za kwenye American music awards au Mtv awards, angeona Davido alivyovaa kuendana dress code. BET awards ni street wear ndo dress code au Doo Rags.... nazani Diamond hakufahamu hilo ndo maana watu (karrueche) wamemshangaa jinsi alivyo over dress kama mzee. Vijana wote wametupia street wear kasoro wazee kina Lionel Ritchie. Hii ni Occasion ya ku celebrate Black american culture. Mcheki Ne-Yo alivyotupia.
Tatizo ni mameneja wake kutokukujua msanii ocassion ipi anatakiwa avae vipi. Makosa hayo hayo aliyafanya Kwenye Harusi ya P Square huko Nigeria.
Ila hongera zake zake kwa hatua kubwa ni makosa madogodogo. Wanigeria wanauzoefu wa miaka minne kwenye tuzo hizi.