DIAMOND Platinumz arudia kuvaa koti la Mtv Africa Wards BET.!!!

we instagram ni muongo Sana dadadeki zako

Lionel Richie alivaa skirt ile .... eti Bet hawavaagi suti ka hujui kaa kimya
 
Last edited by a moderator:
we instagram ni muongo Sana dadadeki zako

Lionel Richie alivaa skirt ile .... eti Bet hawavaagi suti ka hujui kaa kimya
lionel ritchie anavaa kulingana na ujana wake enzi zile za miaka ya sabini ya jackson five. hawezi kuvaa kama little wayne.
 
CC heaven on desert

Muunganishie huyu jamaa kazi kwa boss wako ya kumpangilia mavazi,maana naona ndio anacho tafuta.
 
Last edited by a moderator:
Mi ningekua wema...ningekua na kazi ya kuupiga huo mgongo mpaka unyooke anajitia kilema...sijui ana kibiongo khaaa
 
Mwacheni dogo apumzike, pigo alilopata kwa Tuzo hizi mbili ni kubwa. Mwacheni kidogo apumue.
Ova
 
Angevaa kanzu kabisa si muislamu huyu..ustaadh nasibu domoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…