Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Msanii nambari moko katika ukanda wa Africa Mashariki Diamond Platinumz A.K.A chibu Dangotee A.K.A Simbaa ametangaza kuachia EP yake ya kwanza kbsa toka ameanza safari yake ya muziki.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameahidi kuachia EP yake mnamo 04/03/2022.Diamond atakuwa wa hivi punde kuachia EP yake baada ya wasanii mbali mbali kuachia EP zao. Baadhi yao ni Rayvanny (New chui & Flowers ll EP), Zuchu ( I am Zuchu EP), Lava Lava (Mr Lovebite) K2ga ( Safari EP).
Je, hivi unadhani Diamond atafanya vizuri kwenye EP yake ama atachemka?