Diamond Platinumz atangaza kuachia EP ya kwanza

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Msanii nambari moko katika ukanda wa Africa Mashariki Diamond Platinumz A.K.A chibu Dangotee A.K.A Simbaa ametangaza kuachia EP yake ya kwanza kbsa toka ameanza safari yake ya muziki.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameahidi kuachia EP yake mnamo 04/03/2022.Diamond atakuwa wa hivi punde kuachia EP yake baada ya wasanii mbali mbali kuachia EP zao. Baadhi yao ni Rayvanny (New chui & Flowers ll EP), Zuchu ( I am Zuchu EP), Lava Lava (Mr Lovebite) K2ga ( Safari EP).

Je, hivi unadhani Diamond atafanya vizuri kwenye EP yake ama atachemka?
 
Album kaachia juz juz now ep kumbe ni bampa to bampa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli halikosi mwisho. Uwiiiiih
 
Yani kuna mpuuzi mmoja kila siku anasubir anguko la huyu bwana mdogo, sasa kama ww ulivyo na shauku la huyu kijana kudondoka na ikawe kwako na kizazi chako uone kama ni jambo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…