Hiyo ndio akili!Wife ni wa milele halafu nna mkataba nae..
Hiyo ndio akili!
sasa kumbe !ndoa bila copies hainogi kivile!Tena anaponizalia watoto ndio nampenda zaidi....
ntakuambia 2015....huna lolote... nimekushtukia... na kama hujawaza hivyo, sema hapa ulichowaza...
sasa kumbe !ndoa bila copies hainogi kivile!
Pale mkuu unafata gozi kipochi manyoya! yule mama yuko so vutiang!hata awe na makinda kumi au tukutane uzeeni simpishi njia!Sasa kwa mapenzi ya Dimond na Zari siyo ya mke na mume.... Kujiingiza kwa mwenye watoto watatu for leisure tu bado aisee.
bwah! bwah! bwah! yaani hakuna raha kama kumshtukia mtu... manake ulipiga mahesaaaaaabu, ukaona,dah! yaani huyu jamaa anadhani nami napenda JIhogo... ukaona hata, hapa ni full kukanusha!! I can never ask that question to someone i believe she respects herself unless it's part of our own chit-chat.ntakuambia 2015....
bwah! bwah! bwah! yaani hakuna raha kama kumshtukia mtu... manake ulipiga mahesaaaaaabu, ukaona,dah! yaani huyu jamaa anadhani nami napenda JIhogo... ukaona hata, hapa ni full kukanusha!! I can never ask that question to someone i believe she respects herself unless it's part of our own chit-chat.
haya...we tulia bana 2015 is vere karibu ntakuambia....
Akitoka hapo uganda aende rwanda akamchukue mtoto wa kagame
Hakika huu ni usiku wa wafalme maaana hii nyomi duuh????
aisee huyo ndo king mwenyewe bwanaaa wengine fake, wapiii wale wazomeaji??
Wazomeaji yashawashuka kitambo
pumbavu zao watupishe sieeee
Halafu hata hawajawahi kutusumbua sisi ujue.....walikua wakijisumbua nafsi zao na roho zao za kwann
Sie tulifanya kuwapuuza then tunawaonesha action hatuna maneno