Kijana kafunika Kigali
kwa mujibu wa orodha ya 2014 ya vitu vilivyotafutwa zaidi kwenye Google ndani ya Tanzania.
Diamond yupo kwenye kumi bora, akiwa ni mtu pekee kwenye hiyo kumi bora akimfunika mpaka rais wetu Kikwete.
uknw Mimi ni celebrity mkubwa Tanzania hivyo wasanii wengi wananiomba ushauri uknw! Diamond nilimpa ushauri lakini supergadem mazafantaz hawaamini na wananionea wivu uknw!....
Uknw sasahivi Niko mapunzikoni Arusha kama una wivu kufwa for me
View attachment 215066hii pich ni zaidi ya maneno! Sijakosea kumshabikia........davido kamtaja sana diamond huko dubai sasa sijui wale waliokuwa wanchonga sana sijui watsaweka wapi sura zao
View attachment 215066hii pich ni zaidi ya maneno! Sijakosea kumshabikia........davido kamtaja sana diamond huko dubai sasa sijui wale waliokuwa wanchonga sana sijui watsaweka wapi sura zao
kwa hiyo bifu limeisha?
View attachment 215066hii pich ni zaidi ya maneno! Sijakosea kumshabikia........davido kamtaja sana diamond huko dubai sasa sijui wale waliokuwa wanchonga sana sijui watsaweka wapi sura zao
kamtaja kivp mkuu nnashauku kujua
Haiwezekani lazima Mzee Yusuf alikuwepo hapa c.c MatolaView attachment 215066hii pich ni zaidi ya maneno! Sijakosea kumshabikia........davido kamtaja sana diamond huko dubai sasa sijui wale waliokuwa wanchonga sana sijui watsaweka wapi sura zao