eti wenye matatizo na nyota zenu hivi mkiwa mnawaambiga next door watokwa mapovu hua mnamaanisha nini? yani lile neno lile ( kutokwa povu ) natamani kulitumia ila nahisi wanaweza kunipeleka mahakamani
Haters wapo na bado wataendelea kuwepo! The sababu kubwa ni kwamba, kuna wengine wamezaliwa nafsi zao zikiwa zimekubikwa na inda... hawa ada yao ni uzushi na katu hawaishiwi sababu ili mradi tu hinda zao zipate pa kusimamia! Nadhani ni mfuatiliaji wa CD za kila leo zinazotengenezwa na watu hawa ili mradi tu... single ya karibuni ni kwamba Diamond hana uwezo wa kuzaa... wengine wanaosema haya ni watu wazima na akili zao! Hinda na husuda hii ya kuzaliwa nayo huku ikipapaliwa na stress za maisha, inawafanya watu hawa washindwe kujiuliza; ikiwa Chibu hana uwezo wa kupiga mimba... hao akina Wema, Jokate, Penny, Wolper wameanza kumegwa lini na wanaume wangapi na kote huko wameacha mimba ngapi!!!!Ivi .., najiuiliza, ni kweli bado diamond ana haters kwa TANZANIA.....
?!!?
NTAKUA WA MWISHO KUAMINI HILI....
AND FOR WHAT EXACTLY..???!! DAMN IT!
Tena basi, wanatiririka kumwaga pumba huku wakiwa wameghadhibika kwa hasira na kisirani mithili ya mbogo majeruhi... kisa, ahah... basi tu; why always them and not us... HATRED as you pointed it out!!!Mtokwa povu ni version ya mtiririka pumba....anatiririka tu mradi katiririka.na hiii huchangiwa na hatred.
Is this me you like?Like....................
Upo wewe? Heri ya mwaka mpya 2015....Hahaaaaa lol..
Mi nakufananisha na Esha Mohammed Seif wa mtaani kwetu...Weeeeee unanifananishaaa
Upo wewe? Heri ya mwaka mpya 2015....
Mi nakufananisha na Esha Mohammed Seif wa mtaani kwetu...
poa... poa... full mi-stress!Nipoo, asante na kwako pia
Basi n'tajaribu tena mwakani tarehe kama ya leo...We naona unaunganisha herufi tu, hujapatia hata kiduchu
Basi n'tajaribu tena mwakani tarehe kama ya leo...
about that coffee thing, u left me hanging hukuHahahaaaaa ukipatia ntakupa bonge ya zawadi
nitajie kwanza hiyo zawadi... ikinivutia nakupa jibu leo leo manake hiyo 2016 nitaona kuchelewa!Hahahaaaaa ukipatia ntakupa bonge ya zawadi
about that coffee thing, u left me hanging huku
nitajie kwanza hiyo zawadi... ikinivutia nakupa jibu leo leo manake hiyo 2016 nitaona kuchelewa!
mnh! we nawe... unafanya kama huijui minaume ya kiafrika vile... yenyewe ikisikia zawadi nzuri tu; inafikiria mbaaaaaaaaaaaaali!! Basi haya, nakutajia muda si mrefu...We jua ni zawadi nzuri tu..
Anamaliza mwaka vizuri na anauanza mwingine kwa bang! Kwa hakika kuendelea kumponda mtu kama huyu ni kudhirisha uzuzu ambao ilikuwa ni rahisi kabisa kuuficha.​Diamond Platnumz
Liked · 57 mins ·
Ndugu zangu, Kijana wenu nimechaguliwa kuperform kwenye Tunzo za Wanasoka Bora Afrika#GloCafAwards zifanyikazo tareh 8 mwezi huu Mjini Lagos Nigeria... Tafadhali naombeni Dua zenu ili nikaifanye Kazi Vyema....
(Jus to let you know that your boy Platnumz will be performing live at the 2014 Glo-CAF Awards in Lagos Nigeria 8th Jan 2014... )