chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
hiyo apo
View attachment 223439
Kichupa kipya asante sana kwa info
yeah kinaitwa salima ni linex ft diamond
Kimeshatoka au bado kipo jikoni???
Timu pulatinamu mupoooooooo????
Diamond Ni Mkali. Kill Music Awards, Chomva, Jamaa Ni Mashabiki Wa Teammwana Wanafosi Kiba Kuwa Msanii Bora Tanganyika-zanzibar Wakati Mfalme Yuko. Yaani Alikiba Si Mfalme Yeye Ni Prince. Mondi Ni Mfalme.
DIAMONDS ARE FOREVER.teamkiba waache wivu wa kisenge.DIAMOND PLATINUMZ NI MKALI WA WAKALI WAO. Ni Mwendo Wa Vipara.
ichunie haijakamilika, ila ukiwa na hamu nayo sana sam missago anayo kwene web yakeJana nimepata repot kuwa katoa audio wimbo mpya unaitwa Maradhi ya moyo,kwa yeyote aliyenae anipe kupitia WhatsApp 0788411198,Ninavyomkubali jamaa inaniuma kuona,mpk sasa cjauckiliza! Hao left side waendelee kuroga wkt wameshaambiwa SAUTI IMEMSHINDA IBIRISI!
Naomben huo wimbo tafadhali!