chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
We bhana huna hoja manake hakuna swali hata moja nililokuuliza ambalo umejibu! Am not that kind of guy... kwanza mie napenda mtu aongee kwa facts au at least alete logic kwenye maelezo yake... kwa upande wako ni blah blah! By the way, unaonekana ni kama mtu aliyedandia treni huku ukiwa wala huelekei kwamba you're from the entertainment family manake ungekuwa ni from entertainment family ungefahamu kwamba huyo Chibu mwenyewe amekuwa talk of town kabla huyo Zari wewe hujamfahamu! Na ungekuwa from the entertainment family, wala usingehangaika kuleta hoja kwamba mwaka huu hatapata tuzo coz' ni mambo ya kawaida kwenye entertainment industry!
So, to make this discussion engaged, go first how does the entertainment industry works kisha rudi manake hivi sasa hata tukiamua kuongea kwa mifano itakuwa wastage of resources! I am sorry if got embarrassed lakini sidhani kama kuna ukweli unaotakiwa kuufahamu kwa sasa zaidi ya huo!
Jibu kwa Facts je idadi ya hizo tuzo sahihi au si sahihi?Wee jamaa unaongelea ushabiki mahaba au???
ila tuzo c ndo kipimo cha ubora wa msanii na tuzo zake mleta mada amereflect tuzo alizopata diamond saba na muenendo wake kimuziki akaona mwaka huu hana chake,sa sijaona tatizo la yeye kufikiri hivyo alichotaka ni mawazo ya muendelezo wa kile alichokisema.
Kaka umeona nawewe utumie fulsa isiwe wanatumia wengine tu we inakupita UKITAKA WACHANGIAJI WENGI KWA MUDA MFUPI MUANDIKE KWA LOLOTE LIWE ZURI AU BAYA BASI SI JINA LINGINE ILA NIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII DAIMOND ENDELEA KUMPA PROMO BILA WEWE KUJIJUAHuo ndiyo ukweli enyi mashabiki kindakindaki!
Diamond baada ya nyimbo ya 'my number one' sijawahi kuona kipya kutoka kwake zaidi ya kubabaika tu! Juzi kaamua kufunga kazi na walah kwa ile video nawasubiri basata (kama waliweza kuifungia ya Snura, mimi kwa thatha kimyaa! )
Ukweli ni kuwa kabla Diamond hajatoa 'my number one' alikuwa alitoa mfululizo wa nyimbo mzuri tu! Ila baada ya hiyo sijui ndo kajiloga?
Nataka kujua mashabiki kama watapigia kura jina au kwakuwa kavuma na skendo ya Zari ze boss lady!

Cheketua ya kiba itachukua tuzo nyingi sana
Bila shaka utakuwa na safari ndefu ikiwa unataraji kuona standard English sehemu kama hii!Hizi lugha zilizokuja kwa merikebu ni kwereee
woyooooo, twasubiriaHalooooooooo ngoja namie nitupiamo mauno hahaaaa, KTMA kashapata pasi na shaka
woyooooo, twasubiria
eeh, ngoja nku PMhahaaa nipe user name yako ntakutag ama neneee
eeh, ngoja nku PM
remember to keep my identity private, am on an undercover mission lolpoa poa
remember to keep my identity private, am on an undercover mission lol