Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ingekuwa akina fulani hapa!!tusingelala leo maana!!wanajaribu kushindana na chibu lakini hawawezi mpaka wanatuonyesha majumba ya makumbusho eti nyumba zao za kuishi mmnh!!

Watuonyeshe vitu halisi sio ushuzi wa muhindi harufu kali sababu ya pilipili
 
Watanzania na chuki zao wanataka wamrudishe dogo tandale, chuki sio mpango kabisa
 
Ingawa umeandika kishabiki lakini nakubaliana na wewe kwamba anapiga pesa ndefu. Hii haimaanishi kuwa wasanii wengine hawapati laa hasha nao wanapiga pesa ndefu pia. Tofauti zipo kama zilivyo kwa wafanyabishara wengine na raia kwa ujumla lakini siyo kwa kiasi ulichoeleza wewe. Mwisho Mwandae mtoto wako awe msanii mzuri anayeweza kuimba kwa lugha zenye soko kubwa duniani maana tunakoelekea musiki utalipa sana.
 
Hii habari inanikumbusha bondia Mayweather Jr,baada ya kusema yeye ndiye mwanaspoti anayelipwa pesa nyingi aliulizwa kwenye interview moja mbona watu wake wanaomzunguka kama makocha,cutman nk hawana pesa kihivyo !!??Kwa Diamond nadhani watu waliomzunguka kama wacheza show wake nao watakuwa na pesa za kutosha si vinginevyo...
 
Ingekuwa akina fulani hapa!!tusingelala leo maana!!wanajaribu kushindana na chibu lakini hawawezi mpaka wanatuonyesha majumba ya makumbusho eti nyumba zao za kuishi mmnh!!

Watuonyeshe vitu halisi sio ushuzi wa muhindi harufu kali sababu ya pilipili

Anawajambisha sana huyo King.Na bado.
 
Mungu akikuwekea mkono wake hata waje vigagulo dunia nzima wanaota manundu wao wenyewe
 
Mungu aliyembariki Diamond ndiye yule aliwahi kumbariki Mr Nice, kijana unapaswa ufanye yafuatayo nje ya muziki sali, kuwa mtu safi, wasaidie wenye shida,epuka makundi ili uwe mtu wa watu, usijihusishe na siasa za wazi,Mungu atakubariki mara elfu moja zaidi ya hapo ulipofikia sasa.
 
Kila siku mi huwa nasema "Mungu akitaka kukupa hakuletei barua"
 
diamond platnum baby!walikuchafua sana kwamba huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba!!leo hii wana comfess wenyewe kwamba hawana kizazi,ameanza mmoja na wote watasema
 
Chibu ni brand aisee wimbo hata mwezi haujamaliza una viewers milioni moja na point hii sasa sifaaaaaa
 
Show ya Diamond Dubai...!

Kiingilio elfu 76 za ktz kwa the usuals.. VIP inabidi upige simu... CHIBU is going places
 

Attachments

  • chibu machine.jpg
    52.8 KB · Views: 167
  • chibu machina.jpg
    17.7 KB · Views: 161
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…