Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Shukran nyingi ziwafikie Edgepoint Company Ltd kwa kujitolea kunipa Bima ya Afya kwa wakazi 200 wa Tandale, Bima hiyo ambayo itawaruhusu Wakazi hao kutibiwa bure Hospitalini kwa Kipindi cha Mwaka Mzima bure...bima hizo 100 zitaenda kwa Watoto wa shule ya Tandale Magharibi, 50 kwa wakina mama wajane wa Tandale na 50 kwa watoto yatima wa Tandale...Lengo na duhumi langu si kusaidia Tandale tu, lakini kwakuwa Mwanzo ni mgumu kwa sasa naanzia Tandale ila naamini Wilaya na mikoa Mingine nitafika ku#PushMtaa BIMAafya BIMAafya BIMAafya waweza wasiliana nasi kwa Htaletale@gmail.com

source: karusha kwa instragram account yake.

Hongera Diamond...Zari yupo juu.
 
Last edited by a moderator:

vizuri, hongera kwake
 
Last edited by a moderator:

Hongera sana Chibu
 
Last edited by a moderator:

Vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Yaani diamond ni mfano wa kuigwa kwakweli huyu kijana,mungu akupe zaidi ya hapa Nassib.

Halafu yule wema anasema una IQ ndogo matako yake yule
 
Wadau em naomba mtiririke japo mi/mstari mmoja/miwili ya uyu jamaa ambayo ukiuskia eidha unakumbuka mahali ama unaguswa kidizain
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1429552910610.jpg
    14.5 KB · Views: 1,487
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…