Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Uamuzi, wivu, chuki ni wako sio wangu mie najivunia uTanzania.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa, jamani nyie watu mtawauwa wenzenu mbona hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Nilisahau Tanzania ina wakimbizi waliokuja na kuwa maraia.
 

hhhaaahhaaa
 
Last edited by a moderator:
Usifikiri hii nchi ni maskini sababu ya viongozi akili za wananchi wenyewe ni tatizo. Sasa mtu anafikiri anaweza kupora fungu la mtu kumbe kila mtu ana fungu lake.

Mkuu tanzania kuna maskin weng duh kwel nimeamin. Subir october uone madudu
 
Usifikiri hii nchi ni maskini sababu ya viongozi akili za wananchi wenyewe ni tatizo. Sasa mtu anafikiri anaweza kupora fungu la mtu kumbe kila mtu ana fungu lake.

Very dissapointed, unajua kwenye page ya diamond instagram kuna watu wa nchi mbalimbali, yaani wanashangaa hawaelewi ninini kinaendelea acheni tu watutawale hadi mwisho.
 
Mungu humuinua mnyonge na siku zote nabii hakubaliki kwao he is the best no matter what disapointments hata wanaompnga ndo wa Kwanzaa kucheza nymbo zake
 
Habari zenu wandugu?
Naomba mnijuze humu if especially celebrity forum member wengi wana umri average ya ngapi
 
Nina kaombi kadogo iv kwanini tusiache kujihusisha na hizi nyuzi zinazopinga kumpigia mondi kura yaan tunapta kimya no kuchangia wala nini maana tunavobisha ndo uzi unasambaa zaidi alafu haina haja hata ya kustuka wanaokomalia hii issue hawazidi watu watatu mpk watano kwa kifupi hawawezi kuzuia hii kitu let us ignore them yaan ingekua poa sana aiseee nawasilisha.
 

Hahahaaaa puuzeni kwani mliitwa. Ndo mtulie kwenye uzi wenu.
 
Alafu cha kujivunia ni kwamba sio team kiba wote wana roho mbaya kama watu flani hivi humu ndani team Kib ina watu wengi tu wanaojitambua watapiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…