Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Alafu cha kujivunia ni kwamba sio team kiba wote wana roho mbaya kama watu flani hivi humu ndani team Kib ina watu wengi tu wanaojitambua watapiga kura

hako ka bi**h kamekuja lyupi mkononi kufanya nin tena huku, kanataka kuja tema fangas zake za K'ini hapa.

Em katimue kakaoge.
 
hako ka bi**h kamekuja lyupi mkononi kufanya nin tena huku, kanataka kuja tema fangas zake za K'ini hapa.

Em katimue kakaoge.

Ngoja nikapuuze tu naona kanataka kushinda humu kwa fans wa Mondi ukimpuuza anakosa cha kuandika mwisho wa siku anasepa
 
Mko poa?On my way from NAIROBI to DAR in this moment.Niwaambie kitu...mimi ni muislam..na katika Quran MUNGU kaandika"KUNA JAMBO MNAWEZA MLIONE BAYA LAKINI NDANI YAKE HUWENDA LIKAWA NA KHERI NYINGI".Na hichi ndo nnachokiona kwa usnitch anaofanyiwa THE DON PLUTNUMZ.Kiukweli mtazamo wa WAKENYA juu yetu nlikuwa nauchukulia poa lkn aloo jamaa wanatujua.Wanapenda kusema TANZANIANS ACT SOO HUMBLE BUT INSIDE ARE SNITCHES...Washkaji wengi sana wahapa KENYA wameonesha concern yakumpigia kura PLUTNUMZ na kwa upande wa TZ dah..baada ya matokeo ya juzi kwa story tu zakawaida kwenye Phone...kwa kweli watu wengi sana WENYE AKILI ZAO WAMEAMUA KUMSAPOTI HUYU DOGO.Sjui kwa wenzangu...ila mimi sjawahi kudhania kwamba naweza kutenga mda wakumpigia kura msanii nahuku kazi za ofisini au seminar zinaningoja...lakini kwa sasa...kesho Juma nne nkiingia ofisi chakwanza nikumuuliza bosi HAVE YOU VOTED?NASSIB ur the STAR,AND ITS A DAY DREAM FOR ANY SNITCH TO SHOOT YOU.Ulikuwa unamashabiki wa levo za chini na levo zakawaida..lkn sasa hata wenye hadhi za juu washaanza kuonesha CONCERN.Ishu ya muhimu ni wewe kuilinda BRAND yako bass.Na kwa ambao wajitahidi kumharibia huyu mtu wajuwe wanajiongezea madui wasio walazima.Huyu dogo si alizomewaga huyu?Watu walifikiri ndo mwanzo wa mwisho wake lakini baada ya pale ndo akapiga Mabao yakisigino tena MATAM kwelikweli.Nataraji mabao mengine mazuri zaidi kwanzia sasa.
 
Beyonce angetafuta mtoto mwingine sasa mbona blue ivy amekua jamani au???
 
kwa hiyo unataka diamond apigiwe kura na waislamu tu....mbona mna udini sana nyie team domo...hamtaki kura za wakristu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…