Heshima kwenu wadau.
Nasikiliza E-FM naona mtangazaji anasema inasemekana Number One Remix ndio nyimbo iliyohit sana kuliko zote kutoka kwa msanii wa tanzania.. kuanzia nchini mpaka africa nzima.
Maana kila sehemu, harusini, vigodoro, birthday, shuleni, kids talent shows, haiwezi kukosekana number one rmx na watu wanaicheza ngololo mpaka basi.
Je, ni kweli hii statement au uongo, kuna wimbo wa msanii wa Tanzania uliohit ndani na nje kuliko huu?