Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamaa amechaguliwa tena tuzo za youths music awards nchini Nigeria. 2 categories.
 
Diamond kapewa heshima kwa wazee wa CCM kusimama na kudansi muziki wake alipoingia jukwaani

Ndio Ndio Chibu
 
Diamond kapewa heshima kwa wazee wa CCM kusimama na kudansi muziki wake alipoingia jukwaani

Ndio Ndio Chibu

Hakuna kama Diamond nchi hii!!yule ni rais wa maraisi bwanaah!thread zote Hapa JF zimesimama,watu wanamjadili Diamond tu na Followers wanaonhezeka huko Insta
 
Hakuna kama Diamond nchi hii!!yule ni rais wa maraisi bwanaah!thread zote Hapa JF zimesimama,watu wanamjadili Diamond tu na Followers wanaonhezeka huko Insta

Raha sana sana tu, Raisi wa maraisi kweli umenena
wanampenda bila yeye hawajisikii raha kwa kutomzungumzia.

aaagh wanazidi kum follow hadi raha
 


aisee kwa hili nimemdharau sana domo, binafsi nilikua namsapoti sana hata kura zangu nyingi sana nilimpa!' kumbe ni matak# tu ............
 


aisee kwa hili nimemdharau sana domo, binafsi nilikua namsapoti sana hata kura zangu nyingi sana nilimpa!' kumbe ni matak# tu ............

Hujaitwa humu ndani aisee na wala hujaombwa hizo kura zako kama vipi we sepa tu hutuongezei wala kutupunguzia chochote
 
Sasa matusi ya nini? Kama hutamsapoti si upite kimya? Sisi tutampigia kura na tuzo tutachukua! .... Wasafiiiiiiiii
 


aisee kwa hili nimemdharau sana domo, binafsi nilikua namsapoti sana hata kura zangu nyingi sana nilimpa!' kumbe ni matak# tu ............
Acha kuchanganya siasa na burudani... watu wanafanya biashara na hawawezi kuacha pesa eti kwavile tu wewe hu-support anachokipigia kampeni!Guys, go outta there and find the real enemy anauesababisha CCM iendelee kuwa madarakani... hata ungekuwa ndo wewe ungefanya kama alivyofanya Diamond... don't take it personal... it's all about business! Na ikiwa kweli wewe ni shabiki wake unachotakiwa kufanya ni kuipotezea tu page yake kwa muda badala ya kuhangaika kumwaga mikashifa kila wakati coz' haitakusaidia na mambo ya siasa usije kushangaa siku mzazi wako na yeye anaanza kuishabikia CCM... sasa sijui utaanza kumtusi hivyo hivyo!!!

But all in all, hivi nyie wenzangu ni kwa wanasiasa gani hapa wa kuwafanya mtoke mapovu kweli kweli na kuanza kutukana walio na itikadi tofauti na nyinyi? Nani? Lowassa? Mbowe? Maalim Seif? Ni nani hasa ambae kweli hadi mnaamua kuanza kuwatusi wenzenu kwa kuwaona hawana akili na ndio tatizo? Hivi kweli wewe binafsi ulitarajia mtu kama Dr. Slaa angeisusa CHADEMA? Ni nani kati yako na Slaa anayeujua vizuri upinzani? What about Lipumba? Si mnasema wamenunuliwa? Sasa ikiwa wale ambao walikuwa ndani kabisa wanaweza kusaliti mabadiliko hiv kweli mnawatendea haki watu kama akina Diamond?
 

kila mtu ana haki ya kuwa chama anachokipenda yeye!' huwezi ukamlazimisha mtu. lakini yeye alichokosea angetakiwa kunadi chama chake sio kuanza kuleta mambo ya ukabila!' na kama kupiga kazi angepga kazi aache kuongea shit.

Kwa hiyo Lowasa kwa vile anatoka kaskazin hawezi kuongoza nchi!', Nchi inafaa kuongozwa tu na wakwere!' au kabila la mama yake au?! kwa hiyo amewadharau na mashabiki zake wanaotoka ukanda wa kaskazini, umaarufu umevimbisha kichwa!' na domo lake kuuuubwa!'

nilikua namsapiti sana huyu domo kubwa!' search humu utaona post zangu!' nimempgia kura sana, tena nikiwa kwa office nilikua nawahimiza sana wafanyakazi wenzangu muda ambao hawana kazi kumpgia kura mana kuna free internet!' sasa sahivi wamebaki kunicheka, mtu niliekua nampgia kampeni kila siku kumbe ni cho.ko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…