Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

pouwa mkuu Kidingi na vipi kuusu song lake mpya? limetoka au bado maana Nina alola nalo Wasafibaby.com
 
Last edited by a moderator:
pouwa mkuu Kidingi na vipi kuusu song lake mpya? limetoka au bado maana Nina alola nalo Wasafibaby.com
 
Last edited by a moderator:
Tutegemee mambo makubwa kwa DIAMOND PLATNUMZ misimu ya miaka hadi miaka especially 2016 and soon on.Je wajua atatufanyia nini kwa msimu huu wa mwaka 2016?
 
pouwa mkuu Kidingi na vipi kuusu song lake mpya? limetoka au bado maana Nina alola nalo Wasafibaby.com

Last week Meneja salaam alisema wiki hii haitaisha ngoma inatoka..

Na leo yupo busy na maandalizi ya show ya kesho, keshokutwa (jumatano) nadhani ndio atatangaza rasmi jina na siku ya kutoa wimbo, kama nana alivyofanya anticipation ya siku mbili tu, afu ijumaa mzigo nje...!!
 
Last edited by a moderator:
Na mie nausubiria, juzi katurusha roho na ujumbe kumbe bado.

Hahaha asingeweza kutangaza ndani ya masaa tu afu wimbo utoke, yangekuwa makosa makubwa sana..

Lazima kuwe na siku mbili hivii za kuwatayarisha mashabiki kuipokea ngoma..
 
Tutegemee mambo makubwa kwa DIAMOND PLATNUMZ misimu ya miaka hadi miaka especially 2016 and soon on.Je wajua atatufanyia nini kwa msimu huu wa mwaka 2016?

Mambo ni mengi sana tu, na 2016 utakuwa mwaka wa minyoosha sana kwake coz nana imefanya poa na amepata exposure ya kutosha,, so tuzo kubwa lazima atokee

Afu bado ngoma anazoachia najuwa inayofuata ni ya moooto sana.

Bado wimbo alioshirikishwa na AKA wamesha shoot video, muda wowote unaachiwa... Na ule alioshirikishwa na Mafikizolo wanashoot wiki ijayo South Afrika, nayo itatoka sio muda mrefu na ndio wimbo utaowarudisha kwenye game baada ya kimya chao, kitachoipa nyimbo hype kubwa
 
Ahsante mkuu kwa Habari motomotomoto zilizotufikia na hatujuti kuingia TeamMituzo ka upande Fulani amba msanii wao kenye Fb tu ishu kuingia God blessing Diamond platnumz',God bless TeamWasafi,God blessing JAMIIFORUM MODERATERZ TEAM and TEAMWORLDWIDE ACT AND USD 50000 COME TO DIAMOND PLATNUMZ* THE WINNING IS OUR IN KORA-AFRIKA MUZIIK AWARDED.
 
Ahsante mkuu kwa Habari motomotomoto zilizotufikia na hatujuti kuingia TeamMituzo ka upande Fulani ambaho msanii wao kenye Fb tu ishu kuingia God blessing Diamond platnumz',God bless TeamWasafi,God blessing JAMIIFORUM MODERATERZ TEAM and TEAMWORLDWIDE ACT AND USD 50000 COME TO DIAMOND PLATNUMZ* THE WINNING IS OUR IN KORA-AFRIKA MUZIIK AWARDED.
 
nimekuwa shabiki wa diamond toka kitambo ila kuanzia leo nahamia team kiba ili niweze kuhonja stress ina ladha gani #UTANIPENDA???
 
Sijui umetumia kigezo gani kupima kama diamond hakubaliki bongo....!!!? Rudi tena mtaani fanya research then uje na hoja nzito zenye mashiko kuhusu diamond
 
Diamond kaniacha hoi kaja na #UTANIPENDA?? Anahoji tu!yaani ikatokea ghafla aseme ntaachia ngoma yangu mpya mpaka mwakani mwethi wa sita ndo akasema #UTANIPENDA??
Mi binafsi #NTAKUPENDA!! #NTAKUPATA WAPI KAMA WEWE?? Mwenye sauti ya dhahabu ilomshindaga ibilisi,kwa binadamu sio #PRESIDENT!!
 
Nimeona huko kwa Millard Ayo.com, Koffi mwenyewe anadai anawish afanye collabo na diamond.
 
[Corol=blue]mond bin laden ni hatari kitu kipya nikiacha kumsikiliza chibu utanipenda hahahhha[/coror]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…