Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ipo mkuu ondoa shaka, ila siku hizi zile nyuzi zote zimekufa baada ya mods kuleta unazi
 
Kitendo bila kuchelewa ndio siri ya mafanikio, huu msemo mshana jr anaufahamu vema, laiti mshana jr angekuwa raia namba moja, kelele za escrow sijui IPTL zingeshashughulikiwa long kitambo!!!

Back to Diamond

Mazungumzo baada ya habari yamewajia kutoka radio JF.........
 
Bila ubishi wala kumung'unya Maneno mwaka huu kiburudani ya Muziki unaenda kwa vijana woote wa WCB,wengine walijaribu jaribu kidogo wamefanya vizuri hongereni pia.kazeni but labda 2017 itakua yenu.....

Heko kwa team nzima ya WCB chini ya ze president himself wa kuitwa SIMBA.....
 
THIS KIND OF CONVO MADE MY DAY 😀😀
 

Attachments

  • YUOJSD.PNG
    27.7 KB · Views: 62
Woyooo! Naona uzi wetu umerudi.. Sijui waliuficha wapi..

Hebu tuufufue tena wakuu.. Winners, watu wa mipango, Wadau, wapenzi na mashabiki wote wa # WinnersCycle WCB.. Hiki kijiwe chetu kimerudi..

Sasa Nifah ole wako mkafufue kile kiuzi chenu cha kiba, si unajuaga nikikasirika [emoji35]
 
Mimi kama mtanzania mzalendo najivunia sana Diamond. Ni mpiganaji. Kwanza atambue kuwa baadhi ya watz hupenda kukatisha tamaa wenzao pale wanapochomoza kimaisha. Diamond unaweza sana. Ushauri wangu kwako kuwa kioo cha jamii kiukweli, heshimu watu wote, heshimu wazazi wako, heshimu mwenza wako, somesha watoto. Napenda couple yako na BossLady Zari!
 
Kabisa Mkuu! Diamond ni kioo na mfano wa kiigwa na wasanii wengine Tanzania na Africa kwa ujumla..

Hakuna msanii aliyeoigwa vita na media na haters kama Diamond lakini mpaka sasa amebakia kileleni na kuwa moja ya manguli wa hii industry Africa..

Bravo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…