Android
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 970
- 1,209
Mkuu kwenye biashara unaangalia kwanza kitu jamii inachokihitaji na kina upungufu , au kile ambacho ni lazima sana kwa maisha ya kila siku. kweli karanga ni kitu ambacho tunahitaji saana?? Hadi ifike 100,000/- auze karanga ngapi?Nilitegemea kuona ushauri unaojenga na sio kuponda. Sina tatizo na biashara zake kwasababu yeye mwenyewe anajua hasara na faida zake. Kila mtu akiuza jeans nani atamuuzia mwenzake karanga?
Nguo ni lazima uvae hata uwe bahili, mfano Jeans kama angeuza @20,000/- jeans 5 tu anapata 100,000/- na vijana mashobaro wengi tu angewapata.
Na zaid ya hapo nguo haziharibk nguo angeweza kuzitangaza mwenyew kweny video zake. Nguo angeweza safirusha popote afrika na kupata faida neno kuliko upuuzi karanga.