Maisha ni Hatua.....Hatua ni Maisha! Diamond amepiga hatua kubwa ambayo kila mmoja anatamani afikie hatua hiyo! watu wengi wanapata umaarufu mkubwa wa kugombaniwa kwasababu ya Diamond! Diamond kwa njia yoyote ilee Ukigombana nae Utapa umaarufu Hata ukimchukia na kumsema vibaya utampata umaarufu! Diamond Ukimuunga Mkono na kuwa nae karibu pia nayo utapata umaarufu! Huyo ndio Diamond Maana WCB nzima wamekuwa maarufu kwasababu yake Hata wanao Mchukia na kugombana nae wanapata pia umaarufu
Sasa hii imeenda hadi Kwa ZARI! Kiukweli Zari mimi nimeanza kumjua na kumsikia baada ya kuanza kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Diamond! Huo ni ukweli na hatuwezi kukimbia ukweli! Wabongo wengi tumeenza Kumsikia na kumfahamu Zari Baada ya Kuwa na Diamond sasa ZARI amepata umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania kwasababu ya Diamond kila akienda anagombaniwa kama mme wake! Mapokezi yake Ya pale Airpot na Mlimani City ni Ishira tosha kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka......Sasa Watanzania wanalalamika kusema Kwanini MGANDA AFANYE YOTE HAYA NA KWENYE ARDHI YETU? Jibu ni moja tuu ni kwasababu ya DIAMOND OVER! Diamond ndio kampa hizo Deal zote na umaarufu wote alio nao kwasasa Tanzania ni kwasabbu ya Diamond!
Wadada wa Bongo wanasema wamedharauliwa wanasahahu wao walivyo mdharau Diamond Na kusema Hana Hadhi? Sasa kwenye Deal za Hela ndio diamond ana Wadhifa?
KUNA BONGO MOVIE mmoja Alisema kuwa Hawezi Kutoka na DIAMOND KWASABABU HANA HADHI YA KUTOKA NA YEYE! Sasa Leo nimekaa nimekumbuka Ndio nikawa najiuliza hivi Alimanisha nini Kusema Diamond Hana Hadhi? Mimi nisemsha msahau hata huyo bongomovie maana kapotea
NIKUMBUSHENI YULE BONGO MOVIE ALISEMA Diamond Hana HADHI hawezi kuwa naye Kimapenzi! Alikuwa anaitwa nani