Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #1,261
UPDATES:
Views: 459, 650
Likes:3565
Dislike: 421
Percentage Dislike to Like: 11.8%
Can 11.8% change anything?
si ndo hapo sasa, mie nawashangaa wanaojifanya hawajaielewa
UKweli washaukubali, mbona kitambo tu, wanachoona aibu ni kuuweka ukweli huo hadharani !!!viewerz zaid ya lak 4 then dislike kama 400 hapo ujue wameshaelewa but wanaona aibu kuukubali ukwe
viewerz zaid ya lak 4 then dislike kama 400 hapo ujue wameshaelewa but wanaona aibu kuukubali ukwe
nime tulia zangu maskani baada ya kazi now nakula ngoma za diamond.....hii kitu nita mpata wapi ni matata sana hasa uisikilize kwenye kiki la home theatre duuh balaa tupu.
kama nakuona vile ukitoka ntampata wapi unakuja mdogo mdogo ikiisha hiyo my namber one inafatia then hujakaa sawa kitu cha kesho kinafatia unaamua kujiweka sawa nataka kulewa hiyo unataka kunyanyuka moyo wangu huo mara mbagala mara nalia na mengi then unataka kuondoka kitu cha kamwambie hiko kama kimepikwa leo cha moooto.wee zima hiyo sabufa utasababisha majirani wasiompenda daimond wakashtak tanesko
chezea ntampata wapi wewe hata wiki bado lakini mchina kashaielewa
Hah hizo nyimbo special unzitengenezea folder lake pekeake then unaenjoy the good muzic from Tandale boy
wachina na wazungu wana muelewa sana diamond but wale wenzangu na mimi mburahati eti wana jifanya hamuelewi chibu.
kama nakuona vile ukitoka ntampata wapi unakuja mdogo mdogo ikiisha hiyo my namber one inafatia then hujakaa sawa kitu cha kesho kinafatia unaamua kujiweka sawa nataka kulewa hiyo unataka kunyanyuka moyo wangu huo mara mbagala mara nalia na mengi then unataka kuondoka kitu cha kamwambie hiko kama kimepikwa leo cha moooto.wee zima hiyo sabufa utasababisha majirani wasiompenda daimond wakashtak tanesko
ni kweli raha yake ziwe katika folder lake then unakula ngwati tuu hapo hata kama una mawazo ya kulipa kodi unashangaa unasahau gafla
Ha ha ha eti waka shtaki tanesco daah.
Q Chilla mwenyewe kakubali kulipiea hela afanye nyimbo na video manina Dai
Nimetoka yutyubu sahivi iko hivi
Diamond platnumz-ntampata wapi
5days ago
Views 488k
We jamaa umenchekesha, manekee aisee mle kapiga mdundo mmoja hatari