Diamond Platinumz FC

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Niwasalimu wote. Amani ya bwana iwe nanyi.

Najua duniani na kwingineko kwingi ligi mbalimbali zimesimama kutokana na jinamizi la Covid 19.

Huwa natamani kuona timu yetu ya Taifa na klabu zetu za soka Tanzania zikifanya makubwa Africa. Na ndio maana nikaja na huu uzi "Diamond Platinum FC"

Ingetokea matajiri wawili au mmoja ili kufanya "Football revolution in Tanzania" zikatengenezwa timu nyingine mbili nzuri zitakazo endeshwa kisasa. Achana na Azam FC inasadikika pale kuna u-father na udini

Kwanini tusiwe na timu ambazo zitaendeshwa kisasa timu ambazo hata refa akileta uSimba na uYanga ukizifanyia figisu figisu zitaibuka na zitashinda uwanjani.

Ziibuliwe timu ambazo kwa kupenda au kutokupenda watu watajikuta wanazipenda na kuzishabikia....Nimesikia sikia fununu diamond platinum anataka kuanzisha timu ya mpira

Ni kwanini soka la bongo limekua "Domant" kwanin kusifanyike transformation ya soka Tanzania. Ni nini kinacho tukwamisha? Ni jinamizi gani? Huwa najiuliza matumbo ya mama zetu na dada zetu yameacha kuzaa vipaji?
 
Sasa unamkoromea nani na miherufi yako mikubwa hiyo
You are Nonsense

Au Modds mnasemaje?
Haaahaa
NIMESIKIA MWIGULU NCHEMBA
Leo bungeni kasema ana andaa utaratibu wa kisheria kwa wakwamisha maendeleo kwenye mitandao ya kijamii na wapinga hoja za serikali kweny mitandao...
Angalia brother maana "maumivu ya kichwa uanza polepole"
 
Napenda sana hili litokee.

Ila mpira wa Tanzania unaanza kuangushwa na aina ya uongozi ambao huwa tunao (TFF)

Hilo ni jipu. Tungekuwaga na viongozi wa kweli wenye maono na waliodhamiria kweli kusimamia soccer hakuna linaloshidikana. Viongozi wetu usimba na uyanga wote unakuta umewajaa.
 
Haaahaa
NIMESIKIA MWIGULU NCHEMBA
Leo bungeni kasema ana andaa utaratibu wa kisheria kwa wakwamisha maendeleo kwenye mitandao ya kijamii na wapinga hoja za serikali kweny mitandao...
Angalia brother maana "maumivu ya kichwa uanza polepole"
Mwambie mwigulu na sisi tunaanda sheria ya kuwafunga wote wanaojiandika kwenye mawe kuwa wao ni marais wakati sio kweli
 
Hapo kwenye Azam FC kuwa na udini inabidi utuelezee ni dini gani inayotengwa uhindu au Uyahudi?
Sababu kikosi chao cha kwanza eneo la ulinzi lina wakristo wengi Aggrey Morris (C), Bruce Kangwa, Nicholas Wadada na Joseph Mahundi.
Eneo la kiungo lina Waislamu wengi Mudathir Yahaya, Salum Abubakar na Idi Kipagwile
Eneo ushambuliaji kuna mchanganyiko Obrey Chirwa, Richard Djodi (wakristo) Shaaban Chilunda na Iddi Suleiman (Waislamu)
sasa unaposema Azam FC kuna udini sikuelewi.
 
Tunapo zungumzia Azam fc Ni too general
Kwa research NILIYO fanya nadiliki kusema haya
Huitaji elimu kubwa kulidhihirisha hili... yaani Ni very simple
Kuligundua hili walinzi wa magetini 99.9% Ni Waislamu
Viongozi wa TIMU za vijana Ni Waislamu
Mwaka Jana Kuna mdogo angu mmoja alikua na kipaji na Uwezo mzuri wa kusakata kabumbu....

Tukamtafutia connection pale aka ambiwa nafasi zimejaa ilimbidi kutoa hongo na akapewa jina laki Islam aka Anza fanya mazoezi TIMU c

Kweny uongozi wa TIMU za vijana B,C
SCOUTING YAO HAIPO VIZURI
Kuna u father, rushwa na UDINI

Azam wangepata scout wazuri VIONGOZI wa TIMU za vijana wenye weledi pengine pale pange geuka lamasia ya bongo

Badae nikipata muda naweza fafanua zaidi

NB
Sina lengo la kudharau au Wala kukebei au kuona dini Fulani Ni Bora zaidi ya nyingine nieleweke ivyo...
Udini unao zungumziwa hapa unawezekana ukawa Ni matakwa binafsi ya mtu I mean personal
 
Kumiliki timu ya mpira s Kama kumilki kituo Cha redio au tv mpira Ni issue nyingne

kilicho akilini kitumie
 
ha haaaaaaaaaaa
 
Azam fc, nia njema ilikuwepo iwe UDINI AU UFATHER yote ni sawa.

Lkn usimamizi wa eneo lile ni mbaya sana.

Namuomba BAKHRESSA ikiwezekana awarudishe watu wote walioanza na timu mwanzo ndiyo waliokuwa na malengo.

Mmojawapo anaitwa ' KING'
 
Viongozi wao..na usimba mwingiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…