Hii ni jambo la ujinga na aibu. This is like trying to kill a fly using a hammer or bazooka [emoji23].
Hii serikali yenu ni comedy of errors.
Leo ni Vita Na wasanii, jana ilikuwa vita na mabalozi, juzi billionaire flani alipata tabu,..hamjiulizi Kesho itakuwa nani?
Wacha msanii aigize, hiyo ndio talanta yake, kazi yake, sanaa yake.
Exactly!!.Harusi za Kiswahili hua zinauchafu zaidi ya huyo nyimbo ya mwanzo sijui shida iko wapi...
Ku ban nyimbo Kwa ma radio na TV ni Sawa lakini ku ban mtu Ku perform nyimbo ndani ya club ambapo watu wamejipeleka wenyewe ....hapo umevuka mpaka
- Baraza la sanaa nchini Tanzania (BASATA) linalosimamia mziki na sanaa kwa jumla nchini Tanazania limetoa onyo kali kwa msanii Diamond Platinumznaona wengi mko misinformed
ok iko hivi
domo kafungiwa kufanya shughuli za muziki ndani ya nchi na" nje ya nchi π hapo ndipo ukakasi ulipo!!
hakuna mtu au basata wamesema watamfunga jela.
na alifungiwa sabab ali perform wimbo uliokua umefungiwa na mamlaka pia alifanya show mwanza wakati hakua na kibali cha festival
haya waambie na wenzio na hao waandishi wenu mapopompo
- Baraza la sanaa nchini Tanzania (BASATA) linalosimamia mziki na sanaa kwa jumla nchini Tanazania limetoa onyo kali kwa msanii Diamond Platinumz
- Hii ni kuhusiana na mpango wake wa kupiga shoo nchini Kenya katika hafla yake maalum ya Wasafi Festival
Habari Nyingine : Wakazi wa Migori wahofia ugonjwa mpya hatari wa zinaa βJakadalaβ
Kupitia kwa mkurugenzi mkuu wa baraza hilo Onesmo Kanyanda, shirika hilo limeeleza kuwa diamond atashtakiwa kwa kosa la uhaini iwapo atakaidi vikwazo vya baraza hilo na kuandaa hafla yake Embu, Mombasa na Nairobi kama aliavyopanga.
Tuma neno βNEWSβ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Akizungumza na wanahabari Jumatano, Disemba 19, Onesmo alieleza kuwa sharti Diamond na timu yake kuzingatia na kuambatana na sheria za BASATA ambalo limeipiga marufuku hafla hiyo nchini Tanzania na Kenya.
Habari Nyingine : Mbwa wa babake Uhuru alikuwa na gari lake binafsi la aina ya Mercedes Benz - Lee Njiru
''Sisi kama BASATA ni waakilishi wa serikali. Sheria za BASATA zinatoka kwa serikali hivyo basi akiendelea na hafla hiyo licha ya kupigwa marufuku na serikali, atakuwa na kosa la uhaini,ββ Onesmo alisema.
''Iwapo atafanya kosa la uhaini, kesi itachukuliwa na mwanasheria mkuu kisha atafikishwa kortini. Hivyo mtu akikaidi agizo la BASATA, ameipinga serikali,ββ aliongezea.
Habari Nyingine : Jamaa amfurusha mkewe siku 2 baada ya harusi, adai mtu aliifungua 'sava'
Kauli ya Onesmo inajiri saa chache baada ya uongozi wa Wasafi kutangaza kuwa wataendelea na hafla yao nchini Kenya kama ilivyopangwa awali.
Meneja wa Diamond aliwahakikishia mashabiki wa msanii huyo kuwa wataandaa mkutano na serikali ili ili kuwaruhusu kuiandaa hafla hiyo nchini Kenya.
chanzo cha habari yako?- Baraza la sanaa nchini Tanzania (BASATA) linalosimamia mziki na sanaa kwa jumla nchini Tanazania limetoa onyo kali kwa msanii Diamond Platinumz
- Hii ni kuhusiana na mpango wake wa kupiga shoo nchini Kenya katika hafla yake maalum ya Wasafi Festival
Habari Nyingine : Wakazi wa Migori wahofia ugonjwa mpya hatari wa zinaa βJakadalaβ
Kupitia kwa mkurugenzi mkuu wa baraza hilo Onesmo Kanyanda, shirika hilo limeeleza kuwa diamond atashtakiwa kwa kosa la uhaini iwapo atakaidi vikwazo vya baraza hilo na kuandaa hafla yake Embu, Mombasa na Nairobi kama aliavyopanga.
Tuma neno βNEWSβ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Akizungumza na wanahabari Jumatano, Disemba 19, Onesmo alieleza kuwa sharti Diamond na timu yake kuzingatia na kuambatana na sheria za BASATA ambalo limeipiga marufuku hafla hiyo nchini Tanzania na Kenya.
Habari Nyingine : Mbwa wa babake Uhuru alikuwa na gari lake binafsi la aina ya Mercedes Benz - Lee Njiru
''Sisi kama BASATA ni waakilishi wa serikali. Sheria za BASATA zinatoka kwa serikali hivyo basi akiendelea na hafla hiyo licha ya kupigwa marufuku na serikali, atakuwa na kosa la uhaini,ββ Onesmo alisema.
''Iwapo atafanya kosa la uhaini, kesi itachukuliwa na mwanasheria mkuu kisha atafikishwa kortini. Hivyo mtu akikaidi agizo la BASATA, ameipinga serikali,ββ aliongezea.
Habari Nyingine : Jamaa amfurusha mkewe siku 2 baada ya harusi, adai mtu aliifungua 'sava'
Kauli ya Onesmo inajiri saa chache baada ya uongozi wa Wasafi kutangaza kuwa wataendelea na hafla yao nchini Kenya kama ilivyopangwa awali.
Meneja wa Diamond aliwahakikishia mashabiki wa msanii huyo kuwa wataandaa mkutano na serikali ili ili kuwaruhusu kuiandaa hafla hiyo nchini Kenya.
Show ya Nairobi tarehe 31dec Uhuru park funga kazi wakenya wanaisubiri kwa hamu.Public threats ni hallmark ya udikteta.
Aaaah hata Eritrea and N Korea walianza hivyo. Silence media done β Silence opposition done β silence entertainers & prominent personalities done β ..hii movie ni Tamu sana ππππ
Tanzania inayo mengi kusoma Eritria na Kenya baada muafaka Uhuru na Raila.Public threats ni hallmark ya udikteta.
Aaaah hata Eritrea and N Korea walianza hivyo. Silence media done β Silence opposition done β silence entertainers & prominent personalities done β ..hii movie ni Tamu sana ππππ
Msee tupia link, hizo habari nyingine zime zimenivutuia.... Gonjwa la Jakadala na umbwa wa Uhuru kuwa na gari lake.- Baraza la sanaa nchini Tanzania (BASATA) linalosimamia mziki na sanaa kwa jumla nchini Tanazania limetoa onyo kali kwa msanii Diamond Platinumz
- Hii ni kuhusiana na mpango wake wa kupiga shoo nchini Kenya katika hafla yake maalum ya Wasafi Festival
Habari Nyingine : Wakazi wa Migori wahofia ugonjwa mpya hatari wa zinaa βJakadalaβ
Kupitia kwa mkurugenzi mkuu wa baraza hilo Onesmo Kanyanda, shirika hilo limeeleza kuwa diamond atashtakiwa kwa kosa la uhaini iwapo atakaidi vikwazo vya baraza hilo na kuandaa hafla yake Embu, Mombasa na Nairobi kama aliavyopanga.
Tuma neno βNEWSβ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Akizungumza na wanahabari Jumatano, Disemba 19, Onesmo alieleza kuwa sharti Diamond na timu yake kuzingatia na kuambatana na sheria za BASATA ambalo limeipiga marufuku hafla hiyo nchini Tanzania na Kenya.
Habari Nyingine : Mbwa wa babake Uhuru alikuwa na gari lake binafsi la aina ya Mercedes Benz - Lee Njiru
''Sisi kama BASATA ni waakilishi wa serikali. Sheria za BASATA zinatoka kwa serikali hivyo basi akiendelea na hafla hiyo licha ya kupigwa marufuku na serikali, atakuwa na kosa la uhaini,ββ Onesmo alisema.
''Iwapo atafanya kosa la uhaini, kesi itachukuliwa na mwanasheria mkuu kisha atafikishwa kortini. Hivyo mtu akikaidi agizo la BASATA, ameipinga serikali,ββ aliongezea.
Habari Nyingine : Jamaa amfurusha mkewe siku 2 baada ya harusi, adai mtu aliifungua 'sava'
Kauli ya Onesmo inajiri saa chache baada ya uongozi wa Wasafi kutangaza kuwa wataendelea na hafla yao nchini Kenya kama ilivyopangwa awali.
Meneja wa Diamond aliwahakikishia mashabiki wa msanii huyo kuwa wataandaa mkutano na serikali ili ili kuwaruhusu kuiandaa hafla hiyo nchini Kenya.
Diamond Platinumz kufungwa jela maisha akidhubutu kupiga shoo KenyaMsee tupia link, hizo habari nyingine zime zimenivutuia.... Gonjwa la Jakadala na umbwa wa Uhuru kuwa na gari lake.
Nampenda Diamond. Kijana jasiri tena Kichwa ngumu kabisa, tayari yuko Mombasa.
Huyu rais wenu hana adabu, wacha kijana anatengeneze pesa [emoji383]
View attachment 978300
We used to have Tanzanian bands based in Nairobi in the 80's, a life ban will only push Diamond to the same solution
Akikujibu hili nitagEmbu kamuimbie mama yako huo wimbo,akikuchekea njoo itukane basata utakapoweza.
πππππ wacha maswali ya upuzi. Hakuna lolote linatendeka Tz bila ruhusa ya emperor.Rais wetu anahusikaje na ban ya huyo shemeji yenu!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha maswali ya upuzi. Hakuna lolote linatendeka Tz bila ruhusa ya emperor.
Silence media done [emoji736] Silence opposition done [emoji736] silence entertainers & prominent personalities done [emoji736] ..hii movie ni Tamu sana [emoji16][emoji1][emoji2][emoji3]