Diamond platinumz hana mpinzani East Africa

Diamond platinumz hana mpinzani East Africa

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
533
Reaction score
739
Hili lipo wazi!!!!!! Nani asiyemjua Nasibu Abdul ( Diamond platinumz). Ni msanii mwenye mafanikio makubwa kwa Tanzania na Africa kwa ujumla, ni msanii ambaye amejizolea sifa nyingi kupitia kazi yake na ni msanii ambaye amejishindia tuzo nyingi hapa nchini pamoja na nje ya nchi. Na amesaidia kwa kiwango kikubwa kuibadili bongo fleva na kuitangaza kimataifa.

Diamond platinum alianza kufanya mziki mnamo mwaka 2006 alipokuja na ngoma yake ya nenda kamwambie na tangu wakati huo ameendelea na kasi ileile aliyoingia nayo hadi leo hii na ameshafanya kolabo na wasanii mbali mbali wakubwa Africa. Kwa kweli Diamond platinum anastahili pongezi kwa kile alichofanya na anayoendelea kufanya hakika amedhihirisha hakuna lisilowezekana.

Amekuwa mfano bora wa kuigwa sio kwa Tanzania tu na barani Africa kwa ujumla na nadhiriki kusema Diamond platinum hana mpinzani kwa East Africa ingawa kuna watu wengi wanambeza lakini siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli. Big up Diamond!!!!!!!
 
Ngoja wale wanaojiita team kiba,team wema waje watachangia mawazo yako pia
 
Hili lipo wazi!!!!!! Nani asiyemjua Nasibu Abdul ( Diamond platinumz). Ni msanii mwenye mafanikio makubwa kwa Tanzania na Africa kwa ujumla, ni msanii ambaye amejizolea sifa nyingi kupitia kazi yake na ni msanii ambaye amejishindia tuzo nyingi hapa nchini pamoja na nje ya nchi. Na amesaidia kwa kiwango kikubwa kuibadili bongo fleva na kuitangaza kimataifa. Diamond platinum alianza kufanya mziki mnamo mwaka 2006 alipokuja na ngoma yake ya nenda kamwambie na tangu wakati huo ameendelea na kasi ileile aliyoingia nayo hadi leo hii na ameshafanya kolabo na wasanii mbali mbali wakubwa Africa. Kwa kweli Diamond platinum anastahili pongezi kwa kile alichofanya na anayoendelea kufanya hakika amedhihirisha hakuna lisilowezekana na amekuwa mfano bora wa kuigwa sio kwa Tanzania tu na barani Africa kwa ujumla na nadhiriki kusema Diamond platinum hana mpinzani kwa East Africa ingawa kuna watu wengi wanambeza lakini siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli. Big up Diamond!!!!!!!
Ngoma ya Kamwambie haijatoka 2006 mku,ilitoka 2008
 
mbona kama nasikia vishindo...bila shaka timu makimuga wanakuja mbiombio kukushambuli...ngoja niwapishe..kidogo[emoji3]
 
Nafikiri ilikuwa ni 2010.

Ila jamaa yuko vizuri kwa kweli ukiangalia alipotoka na alipo sasa anastahili pongezi na amefanya mageuzi makubwa sana kwenye bongo fleva na sidhani kama atakaa atokee mtu kama diamond kwenye bongo fleva hapa nchini
 
sasa hautaki tusifie mafanikio akati yanaonekana acha wivu wa kike we
Ndo tatizo la wabongo mkuu hata ufanye mema kiasi gani mwisho wa siku watakuona si lolote wakati wao wenyewe hakuna kitu cha maana wanachofanya zaidi ya kushabikia na kudiscuss pamoja na kufwata mkumbo katika mambo ya kijinga yasiyo na kichwa wala miguu
 
Hili lipo wazi!!!!!! Nani asiyemjua Nasibu Abdul ( Diamond platinumz). Ni msanii mwenye mafanikio makubwa kwa Tanzania na Africa kwa ujumla, ni msanii ambaye amejizolea sifa nyingi kupitia kazi yake na ni msanii ambaye amejishindia tuzo nyingi hapa nchini pamoja na nje ya nchi. Na amesaidia kwa kiwango kikubwa kuibadili bongo fleva na kuitangaza kimataifa.

Diamond platinum alianza kufanya mziki mnamo mwaka 2006 alipokuja na ngoma yake ya nenda kamwambie na tangu wakati huo ameendelea na kasi ileile aliyoingia nayo hadi leo hii na ameshafanya kolabo na wasanii mbali mbali wakubwa Africa. Kwa kweli Diamond platinum anastahili pongezi kwa kile alichofanya na anayoendelea kufanya hakika amedhihirisha hakuna lisilowezekana.

Amekuwa mfano bora wa kuigwa sio kwa Tanzania tu na barani Africa kwa ujumla na nadhiriki kusema Diamond platinum hana mpinzani kwa East Africa ingawa kuna watu wengi wanambeza lakini siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli. Big up Diamond!!!!!!!
No 1 East Africa??? U can't be serious?? Na mzee kinyonga baba Lao unamueka wapi?? Acheni kupotosha umma
 
Ni kweli kabisaaaaaa hana, ila nao wajitahidi kupanda. Itasaidia D kuzidisha....hadi raha lyrics zake unikosha moyooooo, sijui alijifunzia wapi kiswahili ananimaliza kwa utamu....
 
Back
Top Bottom