Diamond platinumz ndio nani????

nampenda sana diamond plutnumz kikazi.. nilipata bahati ya kuongea nae anajua anachofanya.. hajaenda shule sana ila anajua mambo mengi sana
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ndiye msanii pekee ambaye ni member wa "sifuliimachoni" na tayari amepanda cheo
 
Inawezekana umeandika mambo mazuri, lakini mpangilio wa habari yako upo hovyo.
Acha fitina habari ikonpoa Sana,au useme aukusoma kiswahili namna ya kuiandika habari ok ko lala utulie Kaka angu be careful with your heart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…