Diamond platinumz ndo Instagram ya Tanzania

hata pepsi ya baridi au Coka hunywi?..
Hapo kwa list yako hakuna hata mmoja niliyemfollow huko instagram achilia mbali kuwa intereated na wanachofanya

Na nipo Tanzania​
 
Nmefollow watu nane tu na katika hao wanne hakuna hata mmoja Kati ya hao
 
dah watu wengine bhana ani kama unaona uwezi ku coment bora upite tu afu ambao mada inatuhusu tucoment
 
Hapo kwa list yako hakuna hata mmoja niliyemfollow huko instagram achilia mbali kuwa interested na wanachofanya

Na nipo Tanzania​
Nilidhani niko peke yangu ambae siko interested......

Kumbe tupogo
 
Mzee nakwambia siku Instagram ikizima hata masaa 48 tu watu watakufa sana wale Instagram celebrity hahaha!
.
Majuzi tu hapa haikuwa inafanya kazi vizuri walikufa watu.
Alafu wana bonge la mpango wa kuficha likes watasaidia sana aisee
Kati ya vitu ambavyo instagram wakifanya nitafurahi ni hiyo ya kuficha likes.

Ikiwezekana wakabe mpaka comments.
 
Wenye insta yao zari na mond hao wengine watulie kwanza
 
Watu wengine watajifanya hawaekewi eti kumbe kila sakika kuingia kwny page ya Dai
 
Mleta post, diamond kawezaje we ushindwe kusubutu, kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha, tena kama huko dar kuna unafuu wakutoboa kimziki, tht, maprojuza, wapo huko, mpaka watunzi wapo huko, thubutu jaribu, unaweza kujaribu kumfata uliyempa shikamoo ukamlilia akakusaidia kama kina konde, rayvan nk, ( sio lazima wote tuimbe wengine tubaki mashabiki) ila yaonyesha unapenda mziki kama mimi tatizo umbali wa jiji.
 
Hapo kwa list yako hakuna hata mmoja niliyemfollow huko instagram achilia mbali kuwa interested na wanachofanya

Na nipo Tanzania​
Hata PEPSI hunywi!? Hah ha haaaa haa!!

Inawezekana usinywe lakini ndie mwanabongofleva pekee utakayekutana na Billboard zake zaidi barabarani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…