K Kibabu chenye pesa ndefu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2019 Posts 309 Reaction score 205 Sep 27, 2019 #41 joanah said: Hapo kwa list yako hakuna hata mmoja niliyemfollow huko instagram achilia mbali kuwa interested na wanachofanya Na nipo Tanzania Click to expand... naomba mzigo best
joanah said: Hapo kwa list yako hakuna hata mmoja niliyemfollow huko instagram achilia mbali kuwa interested na wanachofanya Na nipo Tanzania Click to expand... naomba mzigo best
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Sep 27, 2019 #42 Kibabu chenye pesa ndefu said: naomba mzigo best Click to expand... Chukua
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Sep 27, 2019 #43 Ngonepi said: Hata PEPSI hunywi!? Hah ha haaaa haa!! Inawezekana usinywe lakini ndie mwanabongofleva pekee utakayekutana na Billboard zake zaidi barabarani!!! Click to expand... Pepsi?inahusiana vipi na mada?ama wanaoongelewa hapo kuna mmiliki wa pepsi unifahamishe Umeandika as if mimi ni hater wa hao watu,punguza ukurupukaji wa kijinga...kutofatilia habari za mtu haimaanishi mtu ana chuki nae
Ngonepi said: Hata PEPSI hunywi!? Hah ha haaaa haa!! Inawezekana usinywe lakini ndie mwanabongofleva pekee utakayekutana na Billboard zake zaidi barabarani!!! Click to expand... Pepsi?inahusiana vipi na mada?ama wanaoongelewa hapo kuna mmiliki wa pepsi unifahamishe Umeandika as if mimi ni hater wa hao watu,punguza ukurupukaji wa kijinga...kutofatilia habari za mtu haimaanishi mtu ana chuki nae
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 Sep 27, 2019 #44 Ukienda kanisani na misikitini nan ana ongelewa[emoji1013]
Statesmann JF-Expert Member Joined Jul 16, 2019 Posts 2,344 Reaction score 3,461 Sep 29, 2019 #45 mimi huwa naingia instagram kuangalia page za michezo tu