diamond platinumz new look!

Hahaaa,upara anataka ampiku mkapa
 
diamond in 2020 labda

2020 karibu sana kaka!

maybe 2043!

nasikia eti kile kiduku chake ndio kinampa nguvu kimuziki!

so wapinzani wana mpango wa kumnyoa ili aporomoke kama mr. nice na takeu!
 
watu wametabiri, kwa kuwa ni kijana wa kiislam ataoa 4 akianza na hao wawili wanaomake headline, na baada ya mwaka mmoja ndo atafanana namna hyo
 
Hahaaa,upara anataka ampiku mkapa

nasikia eti kile kiduku ndio ramani ya kipara!!

si unaona lakini ile yellow colour? ile ndio border!!

halafu zile black colour atlist ndio zitasurvive!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…