Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
✓Hii ni kutokana na taarifa za kutoka chanzo Cha habari kikubwa nchini marekani(USTOLD) kumtaja diamond platinumz Kama miongoni mwa nguli wa muziki wanaotarajiwa kushiriki kwenye wimbo na album ya Beyonce.
✓pia kutokana na hii iimedhihirisha ndo msanii wa MZIKI hatali kuwai kutokea Tangu mziki wa kizazi kipya kuexist kwa consecutive 10 years(1decade) bila kushuka sawa
N. B:the matter of facts and not propaganda.
-Kigom@