Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Ok karibu tenaSio kwamba anatarajiwa kuwa kwenye album ya Beyonce Ila heading hapo unamaanisha hivi...
"Umependa 'black is king' ya Beyonce? Hii hapa Ni list ya wasanii wa Africa ambao hupaswi kuwakosa kwenye playlist yako".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya tusubiri majibu ya ile ID ya innocent dependent
Tatizo hapendagi showoff[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona hata Alikiba aliandikwa kwenye gazeti la Washington Post ila ye akawaambia soudy brown na mwijaku wasimtangaze kwa sababu hapendi show off.
Na ndo mafanikio yake[emoji120]Nakubali movements zake na sio muziki wake
Yeah vyote tayari DIAMOND BABA LAO(the G. O. A. T)Hivi ile gari yake kaliiiiii ishawasili hapa bongo? Na vp alishajenga ghorofa lake kule mbezi beach, na ile HOTEL YAKE ISHAANZA KUPIGA HELA...?
Hivi ile gari yake kaliiiiii ishawasili hapa bongo? Na vp alishajenga ghorofa lake kule mbezi beach, na ile HOTEL YAKE ISHAANZA KUPIGA HELA...?
Inakuuma lakini sasa utafanyajeUtopolo
Wa alikiba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utopolo
Mwanaume unakubali mwanaume mwenzio kuwa baba lao .tena kwa herufi kubwaaa.....aseeeee utakuwa huna testiesYeah vyote tayari DIAMOND BABA LAO(the G. O. A. T)