Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mtoto wake ni pisi watamgeuza single mamaZikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao?
Diamond amesema, hatamani mwanae Tiffa aje Kuishi Tanzania Kwa sababu vijana wame mpania sana kulipiza kisasi.
Diamond pia amesema hawezi kumzuia Tiffa kuja kuishi Tanzania, ila kama atachagua kuja kuishi Tanzania atajitahidi kumlinda na yuko tayari kuonekana mbaya Kwa kijana yoyote atakaye jaribu kumsogelea.
Ikumbukwe miaka miwili nyuma Diamond aliandika ujumbe kupitia mtandao wa Snapchat unao sema;
"ni Bora ukakumbatie transfoma ya umeme kuliko kumsogelea mwanangu Tiffa nitampiga mtu shot"
View attachment 3666421
Unamrindaje mtoto wa kike yaani unataka asiwe wa kike ...mambo ya ushoga yana anziaga hapo ....ukimdhibiti mtoto wa kike asiwe na mwanaume maana yake unafungulia ushogaZikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao?