Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ali Kiba ni moto mkali,..sema ni kama jamaa hajielewi....japo na Diamond ni mkali na ajielewa na anajituma sana.
Ebwana kweli Ally Kiba hajielewi kbsaaaaaa kuna swali alikuwa anamjibu sporah show akasema eti siti aliyokuwa amaikalia ina vumbi tuu kwa sasa ila Diamond yupo kulee back bench.Very stupid comments kwa mtu kama aliy kiba aisee.
 
Wabongo bwana yaani alikiba na diamond du haya maajabu..diamond anajua jamaani diamond ananajua jamani., shake your bum bum ooooh baby
 
Hivi Ali kiba anatoa wimbo wake lini?? Naona Anataka kurudi kupitia mgongo wa Domo.


Sent from my iPhone using JamiiForums

very good observation!kiuimbaji wote wa kawaida sana...matumizi ya lugha kidogo Domo ana uwasilishaji mzuri kuliko Ally K,Stage performance Domo ni kama BUGGATTI na Ally K kama Vitz!!......ki biashara ya muziki....Ally yuko miaka mia nane nyuma!
nikishabikia muziki tu kama muziki.wote hawawezi nishika nikawa shabiki wao,ila kwa mambo mengine kama niliyorodhesha hapo plus investment na bidii.Aly k anasubiri sana kwa domo!mashabiki wa Kiba mtandaoni wanamdanganya sana,he is not that big n good!
 
Management nzuri ndo mpango mzima!ukikaa kimya wee na ukajaribu kurudi kwa kazi chache za watu na kugundua soko sio kama zamani....ziko mbinu nzuri zaidi kukurudisha.ningekua mimi ndio meneja nisingetumia ki bifu cha kipuuzi kama hiki kurudi kushundana na msanii alie juu kuliko wote wa bongo fleva kwa sasa,isipokua indirectly,ningetafuta kumchokonoa kupitia msanii mwingine.hii ingenipa option mbili za faida.jina kurudi bila kumchafua sana mtu ambae naweza kumtumia kupata pesa.''there's nothing like ''dirty scandal'' in the entertainment bussiness''!!
 
Tofauti ni kuwa, Alumasi ni hard working Kiba ni mtu wa mbonji.

Wakati Alumasi anainuka kufuata kitu, Kiba anakunja miguu kusubiri.

Mwisho ni, Nasib ni Almasi wakati Kiba ni Kibao tu.
 
Sikiliza nyimbo ya Kiba ya Usiniseme. Maneno ile nyimbo ni ovyo sana, Diamond hawezi kutoa lyrics kama zile, ndo hapo utajua Kiba anabahatisha tu. Sema sauti yake kama angetungiwa nyimbo na Hadija Kopa, Mzee Yussuf angepata mpinzani.
 
Ana single yake mpya kaimba na mdogo wake,inaitwa pita mbele..kumbe ata washabiki wake hamuijui?

mkuu matumbo ule sio wimbo wa Ali kiba ni wimbo wa Kiba square,wimbo wa Ally kiba unakuja soon unaitwa MWANA DARESSALAAM..
nadhani unalijua hilo ila nia ni kupotosha tu..
 
Last edited by a moderator:
Wabongo bwana yaani alikiba na diamond du haya maajabu..diamond anajua jamaani diamond ananajua jamani., shake your bum bum ooooh baby

huo shake bum bum n wimbo mbaya m kuwah kuusikia tangu nizaliwe...
period.
 
Sikiliza nyimbo ya Kiba ya Usiniseme. Maneno ile nyimbo ni ovyo sana, Diamond hawezi kutoa lyrics kama zile, ndo hapo utajua Kiba anabahatisha tu. Sema sauti yake kama angetungiwa nyimbo na Hadija Kopa, Mzee Yussuf angepata mpinzani.

dah..kweli noma hivi kweli kiba anabahatisha.?????

tangu Njiwa,sikuoni,cinderela,nakshi mrembo,Mali yangu,Nichum,Mapenzi yana Run dunia,Mac muga,Dushelel,Karim,Single boy e.t.c....

kwanini usingetolea mfano mistari ya nyimbo ya Dushelele.?

Hakuna nyimbo za Diamond utakuta wise words kama hzi "YULE ALIYEKUPA WEWE,NDO KANINYIMA MIMI,NA KAMA RIDHIKI ANATOA YEYE BASI NTAKOSA MIMI,ILA MOLA NO ANAETOA,TENA KWA FOLENI HATA KAMA NIPO NYUMA NITAPATA LAZIMA".....
 
namuona jamaa akijitetea kwenye sporah show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…