acheni kumfananisha diamond na ally kiba,diamond yuko evarest wakati ally kiba ndio kwanza anapanda kitonga.
dah..kweli noma hivi kweli kiba anabahatisha.?????
tangu Njiwa,sikuoni,cinderela,nakshi mrembo,Mali yangu,Nichum,Mapenzi yana Run dunia,Mac muga,Dushelel,Karim,Single boy e.t.c....
kwanini usingetolea mfano mistari ya nyimbo ya Dushelele.?
Hakuna nyimbo za Diamond utakuta wise words kama hzi "YULE ALIYEKUPA WEWE,NDO KANINYIMA MIMI,NA KAMA RIDHIKI ANATOA YEYE BASI NTAKOSA MIMI,ILA MOLA NO ANAETOA,TENA KWA FOLENI HATA KAMA NIPO NYUMA NITAPATA LAZIMA".....

Ally Kiba safi sana, hajisifii wala kujikweza, hapendi scandle yeye anajilia Spora kimya kimya.
Kwahiyo kwako hizo ndo sifa zilizokufanya umuone kiba yupo juu ki music??? Dah kaz kwelkwel...
Kipengele gani hapo nimeongelea muziki wake? Kama unampenda domo endelea kumpende siyo lazima wote.