Daaah kaka naomba kujua elimu yako maana hapa umetoa point kama professor aliyebobea kwenye masuala ya muziki na burudani.... Bonge point
Mwana dsm ya Ali k. ni nyimbu 10 za ndomo..ikikuuma mshaur kakako ndomo atunge ngoma zenye ujumbe..
Ungekuwa karibu yangu hapa river road pub kwa post yako hii ungeshajipatia safari bariiidi.
Huyo bob. Mziki ushamshinda kitambo kama Ali K.
Wamebaki kukata mauno kama feni kwenye video zao.
Na bado domo atawakimbiza sana mwaka huu....
Huyo bob. Mziki ushamshinda kitambo kama Ali K.
Wamebaki kukata mauno kama feni kwenye video zao.
Na bado domo atawakimbiza sana mwaka huu....
Unataka useme ndomo hakati mauno??
mwanaume kutamka #sheeder duh
alikiba anamzidi plat theoretically but practically??? ana miaka 800 kumfikia.
Yeye mwenyewe anatafuta kiki
Hahaha ukiona manyoya