Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ungekuwa unapambanisha kati ya Vinega na Clouds ningekupa jibu kuwa Vinega ni noma!
 
Ali Kiba ni mbunifu kwa point hiyo amemzidi diamond.
 
good comment!
 
list ya hao wanaobna pua bongo ipo hivi:-
1.DULLY SYKES
2.ALI KIBA
3.DIAMOND
 
Ally K zaidi, nyimbo zake hazichoshi tofauti na huyu mpenda cfa sijui wanamuita daimond...simpendi sitak hata kumuona
 
Huyu kijana mnayemwita kiba ni mtamu kwa kweli.Hata shemeji yenu anampenda sana.Ongeza kura ya shemeji yenu hapo kwa hiyo zinakuwa mbili
 
mimi uwa nashindwa kujua jinsia za hawa watu,ni wa kike au kiume.Maana wanajichubua na kujipaka poda kama wanawake bwana.
 
Ally K zaidi, nyimbo zake hazichoshi tofauti na huyu mpenda cfa sijui wanamuita daimond...simpendi sitak hata kumuona

tehe tehe relax mkuu inaonekana unahasira naye,by the way kura yako counted
 
Huyu kijana mnayemwita kiba ni mtamu kwa kweli.Hata shemeji yenu anampenda sana.Ongeza kura ya shemeji yenu hapo kwa hiyo zinakuwa mbili

duhu,angalia ucje ukapokonywa mtoto.maana masharobaro wakisifiwa hawakawii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…