Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?


Ally kiba ni mshamba watu hawamjui tu...huoni hata pose zake za kishambashamba?

hivi kumbe unaweza kuzaliwa na kukulia kariakoo na bado ukawa mshamba?
 
Robert kiyosaki huwa anasema baada ya kuuza nakala nyingi sana za kitabu chake "Rich dady ,poor dady" Watu wakamuuliza wewe inakuwaje unauza kuliko waandishi walobobea katika mambo ya personal finances, Maprofessa wa Harvard na Wataalam kutoka Wallstreet?? kwa nini???

akasema " Its because am a best selling author and not a Great author while those are Great Authors and not Best selling Authors".

This is true kwa Marlaw, Alikiba, na it was very true kwa King of Freestyle Albert Mangweha RIP. Ni watu wanaojua sana, ni kama hao maprofesa wa harvard, wanaoshindwa kuuza vitabu vyao kwa levo ya Kiyosaki kanjanja mmoja anaeandika juu ya nertwork marketing. Namfaham Marlaw since Iringa 2004 enzi hizo kwa 2d Thomas na Temmy G. tulikuwaga tunasema " Dah huyu jamaa akitoka, atakuwa juu sana" akatoka juu then akawa kawaida

Mtandao wenye bidhaa nzur kuliko zote unaweza kuwa zantel, lakin wenye wateja wengi na faida kubwa ukawa voda au tigo. "In business effective marketing of product is very important sometimes more than a product it self"
 
Ally Kiba ndio msanii anaopiga show nyingi ulaya na marekan ndio maana umsikii sana Tanzania
 
Mama wa kusaka vipaji ameua kabisa kipaji cha Alikiba.
 

Ni kweli kabisaaa. Mapenzi hata sisi tunayajua
 
Aaah show zipi hizo...mambo ya kufanya show kwenye "kona bar " za ulaya afu mbwembwe nyingi ndio za wabongo muombe hata picha moja ya show utashaanga kuona watu wasiozidi 100 kwenye hiyo show nini europe bhana wanamziki wa Africa soko lao liko hapa hapa Africa.
Kama huyo Ally kiba anauzibitisho wa tour yake ya ulaya atupie youtube wote tuone other ways KAFULIA TU
Ally Kiba ndio msanii anaopiga show nyingi ulaya na marekan ndio maana umsikii sana Tanzania
 
well said nadhani mlengwa atakuwa ametuelewa hata mi naelewa kuwa ally uko juu but marketing hauna
 

Well said, kama anaingia humu JF asome ushauri wako, kuna kitu fulani hivi hasa marketing techniques na au lack of management vitakuwa vinamuangusha ila Kiba Family wote ni wakali!
 

Ally Kiba ndio msanii anaopiga show nyingi ulaya na marekan ndio maana umsikii sana Tanzania

acha kutufunga kamba jamaa...show gani za ulaya ambazo zinamfanya mtu asisikike bongo?ndio hata kutoa nyimbo mpya pia tatizo kila cku tunasikia diamond na ommy wanapiga show za ula
 

Mfano mzuri upo applicable hata katika maisha yetu ya kawaida kwa kukuta mtu yupo sipmle tena hana uweledi wa kutosha lakini maisha ni bora mno kuliko yule ambae anaonekana kwenye jamii ana weledi wa kutosha
 
Kweli maisha tofauti na kupata ....
Wengi hufanya kazi kwa juhudi lakini mwisho wa siku mambo yanabaki kuwa yaleyale lakini wengine hufanya kazi kwa juhudi na maarifa na mwisho wa siku huwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…