Diamond Platinumz worldtour schedule

Na hii pia mnataka tujadili, mheshimiwa mwenyekiti kuhusu utaratibu....!
 
Kila la kheri Baba Tiffah aka Mume wa Zari aka Simba aka Chibu.
Tutakusubiria mitaani kwetu Tandale.
 
Piga kazi Dangote,wewe ni mpambanaji,kila la kheir
 

Nadhani ni suala la muda.. Kwasababu ofisi za WCB bado zipo kwenye mautundu nadhani mambo yakikaa sawa watahitaji kutumia zaidi ya hizi insta, lazima wafungue web yao..
 
Mm mzee wako nakusii fanya kazi uko ughaibuni acha kufatilia mambo ya kizembe mdogo wangu jitaidi utafute pesa

Hivi ulienda kliniki leo?

Idrisa alikusindikiza au ulienda na mashosti wako?

Madam Wema bana.....pole lakini....ingawa mimba si ugonjwa.
 
Hivi inakuwaje mtu anambook mwezi wa 5, miezi mi3 kabla?
 
Ndio uzuri wa kuwa wa kimataifa usubirii shoo za huruma kutoka fiesta, au pale kwa Uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…